March 30, 2016

OBAMA: WANAHABARI NDIO WALIOMJENGA TRUMP.

Rais Barack Obama wa Marekani amelaumu vyombo vya habari kwa kukua kwa umaarufu wa mgombea wa tikiti ya chama cha Republican Donald Trump. thumbnail 1 summary
Rais Barack Obama wa Marekani amelaumu vyombo vya habari kwa kukua kwa umaarufu wa mgombea wa tikiti ya chama cha Republican Donald Trump.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BEN POL: KUPONDWA, KUSIFIWA ZOTE NI CHANGAMOTO KWANGU.

Star wa RNB kutoka kanda ya kati Bernald ‘Ben’ Pol, amesema yeye maoni ya wadau yawe mazuri au mabaya anayachukulia kama changamoto kweny... thumbnail 1 summary
Star wa RNB kutoka kanda ya kati Bernald ‘Ben’ Pol, amesema yeye maoni ya wadau yawe mazuri au mabaya anayachukulia kama changamoto kwenye kazi zake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUBET KWAMPONZA BEKI WA MAN CITY

Beki kutoka nchini Argentina na klabu ya Man City, Martin Demichelis amefunguliwa mashtaka na chama cha soka nchini England FA, kufuatia ... thumbnail 1 summary
Beki kutoka nchini Argentina na klabu ya Man City, Martin Demichelis amefunguliwa mashtaka na chama cha soka nchini England FA, kufuatia tuhuma za kujihusisha na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

P.DIDDY KUANZISHA SHULE MJINI ALIPOTOKEA HERLEM,MAREKANI.

Mwimbaji na Mtayarishaji wa nyimbo kutoka Nchini Marekani Sean Combs (P.Diddy) amefanya jambo la muhimu sana mwaka huu kwa kuisaidia Jami... thumbnail 1 summary
Mwimbaji na Mtayarishaji wa nyimbo kutoka Nchini Marekani Sean Combs (P.Diddy) amefanya jambo la muhimu sana mwaka huu kwa kuisaidia Jamii alikotokea na kulia huko Herlem.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKALA WA YAYA TOURE KUIPUUZA MAN CITY

Taarifa za kiungo na nahodha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure kuwa mbioni kuikacha Man City mwishoni mwa msimu huu, zinaendele... thumbnail 1 summary
Taarifa za kiungo na nahodha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure kuwa mbioni kuikacha Man City mwishoni mwa msimu huu, zinaendelea kushika kasi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Bilionea Mtanzania anaetaka kuanzisha Benki yake… anawazia kuinunua BARCLAYS Tanzania!

Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa ... thumbnail 1 summary
Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa wanaweza kuifanya nchi hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Hasira za Nicki Minaj baada ya kuona mlinzi wake anachezea simu badala ya kumlinda

Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki y... thumbnail 1 summary
Hii ishu imetokea wakati Nicki Minaj akifanya show Dubai na kilichotokea ni kwamba Mlinzi wake huyo hakuwa makini na kazi, wakati Nicki yuko kwenye stage anaimba, akagundua kwamba upande wake wa kulia mmoja wa Walinzi wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe soda na akakaa kwenye Mgahawa

March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airp... thumbnail 1 summary
March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airport ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 17: Rais Magufuli katua Airport Mwanza akatoa laki moja watu wanywe soda na akakaa kwenye Mgahawa

March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airp... thumbnail 1 summary
March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airport ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya….

Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na watu mbalimbali... thumbnail 1 summary
Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wa instagram ambao umekuwa ukitumiwa na watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu fulani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: