August 23, 2015

Top 10 ya rekodi za ada kubwa za usajili wa wachezaji kwa muda wote.

Kila mwishoni mwa msimu wa Ligi mbalimbali duniani vilabu husika huwa na utamaduni wa kuanza kufuatilia wachezaji sahii watakao ongeza ng... thumbnail 1 summary
Kila mwishoni mwa msimu wa Ligi mbalimbali duniani vilabu husika huwa na utamaduni wa kuanza kufuatilia wachezaji sahii watakao ongeza nguvu katika vilabu vyao na namna ambavyo watawapata. Siku hizi kila klabu inapomuhitaji mchezaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa gharama kidogo kabisa unaweza kujipatia nyumba yako poa kabisa iliyojengwa kwa kontena.. (Pichaz)

Ukizungumzia ujenzi wa nyumba za kuishi watu wengi wanaanza na kufikiria kuhusu mafundi, cement, mchanga na vifaa vingine… lakini upo uje... thumbnail 1 summary
Ukizungumzia ujenzi wa nyumba za kuishi watu wengi wanaanza na kufikiria kuhusu mafundi, cement, mchanga na vifaa vingine… lakini upo ujenzi mwingine ambao mpaka unakamilika kabisa unaweza usihitaji chochote kati ya hivyo, labda akatakiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni top 10 ya nyumba za kifahari zaidi zinazomilikiwa na mastaa wa soka

Wachezaji mpira wa miguu ni watu ambao wamekuwa wakimiliki fedha nyingi kutokana na kulipwa mishahara mikubwa kwa wiki, ni kitu cha kaw... thumbnail 1 summary

Wachezaji mpira wa miguu ni watu ambao wamekuwa wakimiliki fedha nyingi kutokana na kulipwa mishahara mikubwa kwa wiki, ni kitu cha kawaida kwa mchezaji mpira kulipwa pound 100,000/= kwa wiki ina maana kwa mwezi analipwa pound 400,000/= ni zaidi ya bilioni moja ya kitanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHRISTOPHER MTIKILA,CHIPAKA NA MALISA WAENGULIWA MBIO ZA URAIS ....NEC YASEMA HAWAJATIMIZA MASHARTI,LOWASA,MAGUFULI WAPETA!!!

Wanasiasa wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri... thumbnail 1 summary
Wanasiasa wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kushindwa kutimiza vigezo vya kisheria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA DIAMOND PLATNUMZ AMFUNIKA ZARI KWA MBIZI KWENYE BWAWA

MAMA’KE Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameonesha umahiri mkubwa wa kuogelea kiasi cha kumfunika mkwe wake, Zarinah Hassan ‘... thumbnail 1 summary
MAMA’KE Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameonesha umahiri mkubwa wa kuogelea kiasi cha kumfunika mkwe wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenye bwawa la kuogelea lililopo nyumbani kwa Diamond,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Mna Maoni Gani Kuhusu Mh. Sumaye na Kukimbiwa na Mawaziri Wakuu Walio na Jina Kubwa Nchi Hii?

CCM MNA maoni gani kuhusu mh. Sumaye na kukimbiwa na mawaziri wakuu walio na jina kubwa nchi hii? thumbnail 1 summary
CCM MNA maoni gani kuhusu mh. Sumaye na kukimbiwa na mawaziri wakuu walio na jina kubwa nchi hii?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 19 za matukio mbalimbali yaliotokea Uwanja wa Taifa katika mechi kati ya Yanga Vs Azam FC.

Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati mabingwa wapya wa ngao ya... thumbnail 1 summary
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea picha za matukio mbalimbali yaliotokea ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja wakati mabingwa wapya wa ngao ya hisani Yangawakishangilia ushindi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujumbe Wa Maandishi Kutoka kwa Lowassa Kwenda Kwa Sumaye Kumkaribisha UKAWA

"Karibu Ndugu Frederick Sumaye katika mabadiliko ya kweli. Tushikamane na tusimame pamoja na wananchi kuongoza hamasa ya watanzania ... thumbnail 1 summary
"Karibu Ndugu Frederick Sumaye katika mabadiliko ya kweli. Tushikamane na tusimame pamoja na wananchi kuongoza hamasa ya watanzania wanaotaka mabadiliko kwa kuiondoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli Ngumu Alisozisema Mh Sumaye Bila Kuogopa CCM Alipotangaza Rasmi Kujiunga na Ukawa

‪ Hakuna mtu ambaye anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa" thumbnail 1 summary


  • ‪ Hakuna mtu ambaye anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utabiri wa TB Joshua Uko Palepale Uchaguzi 2015

Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa? Tb Joshua akawamb... thumbnail 1 summary
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa? Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko ya Magufuli Kuishika Dar Leo Wakati Akizindua Kampeni

John Pombe Magufuli CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja... thumbnail 1 summary
John Pombe Magufuli
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mrembo Lulu Michael Amrushia Vijembe Husna Maulid

STAA mdogo kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonekana kumrushia vijembe hasimu wake mkubwa mlimbwende Husna Mau... thumbnail 1 summary
STAA mdogo kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonekana kumrushia vijembe hasimu wake mkubwa mlimbwende Husna Maulid kwa kile

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: