November 16, 2014

Ubaya Ubayanii!! Tyga Ashoot Video Na Ex Wa Drake Amfanyia Ndivyo Sivyo!

Tyga na ex wa Drake, Dollicia Hakuna njia nzuri ya kumuumiza adui yako kama kuwa karibu na ex wake. Baada ya Drake kuanzisha ukarib... thumbnail 1 summary

tyga-dollicia
Tyga na ex wa Drake, Dollicia

Hakuna njia nzuri ya kumuumiza adui yako kama kuwa karibu na ex wake. Baada ya Drake kuanzisha ukaribu na mke wa zamani wa Tyga, Blac Chyna, Tyga amejibu mapigo kwa kushoot video na ex wa adui yake huyo aliyemuita ‘fake’ hivi karibuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII AJUTIA PENZI LA DK.CHENI

MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Che... thumbnail 1 summary
MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA: NATAMANI KUPATANA NA WEMA

SIKU  chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘K... thumbnail 1 summary
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ kupatana na Beutiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ naye ameibuka na kuweka bayana kuwa hata yeye yupo radhi na anatamani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAHADHARI KWA WANAOCHANGIA NGUO NA TAULO.

Tabia ya kuchangia nguo za kuvaa au taulo za kujifutia maji baada ya kuoga huchangia kwa kiasi kikubwa kueneza vimelea vya magonjwa kama... thumbnail 1 summary
Tabia ya kuchangia nguo za kuvaa au taulo za kujifutia maji baada ya kuoga huchangia kwa kiasi kikubwa kueneza vimelea vya magonjwa kama kaswende, kisonono,  fangasi,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU KWA AFYA BORA.

Kuna sababu nyingi zinazoamua hali ya afya ya binadamu kama vile mahusiano mazuri na wengine, mazingira bora, usafi, kipato au uchumi mz... thumbnail 1 summary
Kuna sababu nyingi zinazoamua hali ya afya ya binadamu kama vile mahusiano mazuri na wengine, mazingira bora, usafi, kipato au uchumi mzuri, vinasaba vya urithi, kupata elimu na kuelimika, mila na desturi njema, tamaduni nzuri, kazi na ajira salama,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTAFITI UNAOONYESHA KUWA WANAWAKE HUFANYA KAZI KULIKO WASICHANA.

Utafiti mpya uliofanyiwa kampuni ya Microsoft  unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi kwa bidii zaidi ya wasichana thumbnail 1 summary
Utafiti mpya uliofanyiwa kampuni ya Microsoft  unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi kwa bidii zaidi ya wasichana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAZOEZI MUHIMU KWA AKINA DADA NA MAMA.

  Wanawake wa zamani walikuwa wakifanya shughuli nyingi sana kama kutembea kwa muda mrefu ili kufika sehemu wanazotaka jambo ambalo li... thumbnail 1 summary

 

Wanawake wa zamani walikuwa wakifanya shughuli nyingi sana kama kutembea kwa muda mrefu ili kufika sehemu wanazotaka jambo ambalo lililkuwa likiwasaidia kujifungua salama. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATUMIZI YA SIMU ZA KISASA NA MADHARA YAKE KIAFYA

Wataalamu wa macho wanashauri kuwa matumizi kupindukia ya mara kwa mara ya simu za kisasa (Screen touch Smartphone), TV pamoja na Comput... thumbnail 1 summary
Wataalamu wa macho wanashauri kuwa matumizi kupindukia ya mara kwa mara ya simu za kisasa (Screen touch Smartphone), TV pamoja na Computer yana madhara sana kwa afya ya macho kutokana na kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO SABABU ZA MICHIRIZI KWA WANAWAKE.

Michirizi, mipasuko, mistari au kwa kitaalum Strech marksinasababishwa na vitu vifuatavyo:- thumbnail 1 summary

Michirizi, mipasuko, mistari au kwa kitaalum Strech marksinasababishwa na vitu vifuatavyo:-

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADHARA YA VIATU VIREFU NA JINSI YA KUEPUKA

Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee ba... thumbnail 1 summary
Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee bali dunia nzima. 
Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi huharibu pingili za uti wa mgongo na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: