May 04, 2016

NGOLO KANTE AZUNGUUKWA NA OFA ZA KUMNYAKUA

Klabu za jijini London nchini England, Chelsea na Arsenal zimeanza kuonyesha makeke ya kuihitaji saini ya kiungo wa mabingwa wa soka wa E... thumbnail 1 summary
Klabu za jijini London nchini England, Chelsea na Arsenal zimeanza kuonyesha makeke ya kuihitaji saini ya kiungo wa mabingwa wa soka wa EPL, Leicestter City, N’golo Kante.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROMA ATAANZA KUIMBA KUHUSU ‘BATA’ NA ‘MAPENZI’ MARA BAADA YA KUPATA HILI.

Msanii wa Hiphop Roma amefunguka kuhusu ujumbe kwenye nyimbo zake na kusema ataendelea kuimba nyimbo hizi mpaka atakapo pata uongozi na u... thumbnail 1 summary
Msanii wa Hiphop Roma amefunguka kuhusu ujumbe kwenye nyimbo zake na kusema ataendelea kuimba nyimbo hizi mpaka atakapo pata uongozi na utawala utakao badilisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO LIST YA WASANII WA HIP HOP WENYE PESA NYINGI DUNIANI, DRAKE AMEMNG’OA 50 CENTS KWENYE ORODHA.

Rapper kutoka Canada aliye chini ya lebo ya Young Money, Drake, ameingia kwenye list ya wasanii ya wasanii wa Hip Hop wenye mkwanja wa ku... thumbnail 1 summary
Rapper kutoka Canada aliye chini ya lebo ya Young Money, Drake, ameingia kwenye list ya wasanii ya wasanii wa Hip Hop wenye mkwanja wa kutosha Duniani mwaka 2016 huku akimtoa rapper 50 Cents kwenye namba 4 katika orodha hiyo akiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FA HUENDA WAKAMFUNGIA MOUSA DEMBELE

Kiungo kutoka nchini Ubelgiji na klabu ya Tottenham Hotspurs, Mousa Dembele yupo hatarini kufungiwa michezo kumi (10) na chama cha soka n... thumbnail 1 summary
Kiungo kutoka nchini Ubelgiji na klabu ya Tottenham Hotspurs, Mousa Dembele yupo hatarini kufungiwa michezo kumi (10) na chama cha soka nchini England FA, endapo itathibithika alimfanyia utovu wa nidhamu kwa makusudi mshambuliaji wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LINAH:SIAMINI MAFANIKIO YA WASANII WA KIKE NCHINI YANATOKANA NA RUSHWA YA NGONO,BALI NI UBORA WA KAZI ZAO

Linah Sanga amewataja wasanii wenzake wa kike hapa nchini kuongeza juhudi katika kazi zao na kutumia vizuri vipaji walivyojaliwa na Mungu... thumbnail 1 summary
Linah Sanga amewataja wasanii wenzake wa kike hapa nchini kuongeza juhudi katika kazi zao na kutumia vizuri vipaji walivyojaliwa na Mungu ili kuepuka thumb za rucha ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GUUS HIDDINK: NILIKATAA KUAJIRIWA NA LEICESTER CITY

Meneja wa muda wa klabu ya Chelsea, Guus Hiddink amesema kabla ya Leicester City kumchukua Claudio Ranieri ilimwomba awe meneja wa klabu ... thumbnail 1 summary
Meneja wa muda wa klabu ya Chelsea, Guus Hiddink amesema kabla ya Leicester City kumchukua Claudio Ranieri ilimwomba awe meneja wa klabu hiyo ambayo imefanikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRISTIANO RONALDO KUWAKABILI MAN CITY

Kitengo cha utatibu cha klabu ya Real Madrid, kimemthibitishia meneja wa klabu hiyo Zinedine Zidane, kuwa anaweza kumtumia mshambuliaji k... thumbnail 1 summary
Kitengo cha utatibu cha klabu ya Real Madrid, kimemthibitishia meneja wa klabu hiyo Zinedine Zidane, kuwa anaweza kumtumia mshambuliaji kutoka nchini Ureno Cristiano Ronaldo katika mchezo wa hii leo, ambao utaamua hatma yao ya kutinga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO Yanayoshusha Thamani ya Mwanaume Mbele ya Mwanamke

Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume ... thumbnail 1 summary
Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya mwanamke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO ya Chura ya Snura Yawa Gumzo Marekani!

Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo yao kwa kuu... thumbnail 1 summary
Chura wa Snura anazidi kusambaa duniani kwa kasi. Clip zinazowaonesha wanawake watatu wakipika chakula huku wakitikisa mizigo yao kwa kuucheza wimbo huo maarufu haijashia kutrend Afrika tu bali hadi Marekani. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole Amefunguka "Mimi ni Mwanamke Mzuri Sana Hamna Anayebisha" Ipo Hapa

Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi. thumbnail 1 summary
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Ujasiri Wa Kukopa Ndio Utakaoboresha Biashara na Maisha Yako’

TAKWIMU zinaonesha kuwa Watanzania wengi hawaendi kukopa benki licha ya kuwapo kwa fursa hiyo. thumbnail 1 summary
TAKWIMU zinaonesha kuwa Watanzania wengi hawaendi kukopa benki licha ya kuwapo kwa fursa hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Jacqueline Wolper Aonyesha Kuwa Ni Mjamzito Na Anatarajia Kupata Mtoto Wa Kike

Staa wa filamu hapa nchini, Jacqueline Wolper ameanika wazi kupitia mtandao wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mjamzito na thumbnail 1 summary
Staa wa filamu hapa nchini, Jacqueline Wolper ameanika wazi kupitia mtandao wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mjamzito na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIVA: Nyimbo zangu zinabaniwa sana kupigwa Redioni

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho ... thumbnail 1 summary
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona si sawa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NICKI MINAJ Kamchagua yupi Kati ya Meek Mill na Drake? Jibu Liko Hapa

Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata ... thumbnail 1 summary
Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata mawasiliano naye kabisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather Achoma Dola Hadharani

Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe thumbnail 1 summary
Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHAZ 6: Chelsea wametoa jezi za msimu mpya, kuivaa utahitajika kutoa zaidi ya Tsh laki 2

Baada ya jezi za msimu ujao wa 2016/2017 kwa baadhi ya timu kuonekana zikivuja katika mtandao wa 101greatgoals.com leo May 4 2016 klabu y... thumbnail 1 summary
Baada ya jezi za msimu ujao wa 2016/2017 kwa baadhi ya timu kuonekana zikivuja katika mtandao wa 101greatgoals.com leo May 4 2016 klabu ya Chelsea ya Uingereza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: TOP 10 ya penati bora kuwahi kupigwa katika soka

Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka duniani, mpira wa penati kabla ya kupigwa, mpigaji huwa anatajwa kupewa asilimia 75 za mpira atakaoupiga... thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka duniani, mpira wa penati kabla ya kupigwa, mpigaji huwa anatajwa kupewa asilimia 75 za mpira atakaoupiga golini utaingia wavuni,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WAVAA NGUO ZA AJABU JIONEE

Kim Kardashian amevaa kama ‘Blingy Sexy Robot’ kwenye pati ya Met Gala huku mume wake Kanye West akivaa Jeans iliyochwanwa na na machoni ... thumbnail 1 summary
Kim Kardashian amevaa kama ‘Blingy Sexy Robot’ kwenye pati ya Met Gala huku mume wake Kanye West akivaa Jeans iliyochwanwa na na machoni akiweka Contacts za Blue.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo 10 muhimu ya kufahamu kuhusu Mabingwa wapya wa EPL Leicester City

Usiku wa Mei 2 2016 ndio ulikuwa usiku wa kihistoria kwa klabu ya Leicester City toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, huenda unafahamu kam... thumbnail 1 summary
Usiku wa Mei 2 2016 ndio ulikuwa usiku wa kihistoria kwa klabu ya Leicester City toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, huenda unafahamu kama Leicester wametwaa Ubingwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: FC Bayern Munich bye bye Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya klabu ya FC Bayern Minichdhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mei 3 2016 kat... thumbnail 1 summary
Mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya klabu ya FC Bayern Minichdhidi ya Atletico Madrid umechezwa usiku wa Mei 3 2016 katika uwanja wa Alianz Arena Ujerumani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Louis van Gaal kasema yeye ni moja ya makocha bora duniani, hizi ndio comment alizokutana nazo

Kocha wa klabu ya Man United ya Uingereza Louis van Gaal huenda ndio akawa kocha ambaye yupo katika wakati mgumu kwa sasa kuliko kocha yo... thumbnail 1 summary
Kocha wa klabu ya Man United ya Uingereza Louis van Gaal huenda ndio akawa kocha ambaye yupo katika wakati mgumu kwa sasa kuliko kocha yoyote Uingereza, Louis van

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nchi 25 zinazoongoza kwa ajali barabarani, Afrika Mashariki imetajwa nchi moja

Mtu wangu wa nguvu moja kati ya vifaa hatari kutumia duniani ni vyombo vya usafiri, ndio maana mara zote tumekuwa tukishauriwa kutumia vi... thumbnail 1 summary
Mtu wangu wa nguvu moja kati ya vifaa hatari kutumia duniani ni vyombo vya usafiri, ndio maana mara zote tumekuwa tukishauriwa kutumia vifaa hivyo wakati ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Mashambulizi 50 bora yaliowahi kufanikiwa kuokolewa golini na magolikipa

Kuna baadhi ya matukio au mashambulizi katika soka wakati yanatokea kwa asilimia 75 unaweza kutabiri mpira utaingia nyavuni na kuwa goli... thumbnail 1 summary
Kuna baadhi ya matukio au mashambulizi katika soka wakati yanatokea kwa asilimia 75 unaweza kutabiri mpira utaingia nyavuni na kuwa goli kuliko uwezekano wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO 10 YA AJABU YALIYOIZIDI KETE LEICESTER CITY KUSHINDA EPL

Klabu ya Leicester City imeshinda taji la Ligi Kuu ya soka nchini England , ahalia mbayo haikutarajiwa na wengi kutokana na mwanzoni mwa ... thumbnail 1 summary
Klabu ya Leicester City imeshinda taji la Ligi Kuu ya soka nchini England , ahalia mbayo haikutarajiwa na wengi kutokana na mwanzoni mwa msimu huu, mashabiki wengi walionyesha kutoifikiria klabu hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVID DE GEA N]A CHRIS SMALLING WAFUNIKA TUZO ZA MAN UTD

Wachezaji wawili wa Manchester United, David de Gea na Chris Smalling wameng’ara katika tuzo za msimu za klabu hiyo inayofundishwa na Lo... thumbnail 1 summary
Wachezaji wawili wa Manchester United, David de Gea na Chris Smalling wameng’ara katika tuzo za msimu za klabu hiyo inayofundishwa na Louis van Gaal.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bora Ukimwi Kuliko Kutumia Dawa za Kulevya-Ferooz

Msanii wa kizazi kipya Ferooz amefunguka na kusema ni bora mtu apate virus vya Ukimwi kuliko kutumia madawa ya kulevya kwani anadai mtu aki... thumbnail 1 summary
Msanii wa kizazi kipya Ferooz amefunguka na kusema ni bora mtu apate virus vya Ukimwi kuliko kutumia madawa ya kulevya kwani anadai mtu akitumia dawa za kulevya mwisho wake ni kuaibika na kushindwa kufanya mambo ya msingi katika jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Yazua Gumzo Mtandaoni (Picha)

Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika... thumbnail 1 summary
Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: