May 04, 2016

Louis van Gaal kasema yeye ni moja ya makocha bora duniani, hizi ndio comment alizokutana nazo

Kocha wa klabu ya Man United ya Uingereza Louis van Gaal huenda ndio akawa kocha ambaye yupo katika wakati mgumu kwa sasa kuliko kocha yo... thumbnail 1 summary
Kocha wa klabu ya Man United ya Uingereza Louis van Gaal huenda ndio akawa kocha ambaye yupo katika wakati mgumu kwa sasa kuliko kocha yoyote Uingereza, Louis van Gaal ameongea kauli ambayo imemfanya akumbane na comment nyingi.

Van Gaal amenukuliwa akisema kuwa yeye ni moja kati ya makocha bora duniani, kitu ambacho kimemfanya akumbane na comment nyingi za kumkosoa kutokana na klabu yake ya Man United ipo katika nafasi ya 5 tofauti na ilivyozoeleka kuwa klabu hiyo huwa katika nafasi tatu hadi nne za juu.

Kwa sasa Van Gaal ambaye alisema “mimi ni moja kati ya makocha bora duniani”anaripotiwa kuwa nafasi yake mwisho wa msimu itarithiwa na kocha wa zamani waChelsea Jose Mourinho, hivyo kauli ya yeye kujiita bora haikuwapendeza mashabiki wa soka hususani watumiaji wa mtandao wa twitter.



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments