December 18, 2016

Wizkid Kukamatwa Baada ya Kushindwa Kutokea Kwenye Show Uganda.

Wizkid anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela, baada ya mahakama ya Uganda kutoa hati ya kukamatwa kwake na meneja wake, Sunday Aare. W... thumbnail 1 summary
Wizkid anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela, baada ya mahakama ya Uganda kutoa hati ya kukamatwa kwake na meneja wake, Sunday Aare.
Wizkid alishindwa kutokea kwenye show iliyokuwa ifanyike December 3 mwaka huu mjini Kampala. Kampuni iliyomlipa, Face TV, kupitia mwanasheria wake, Fred

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rekodi nyingine Drake na Wizkid wameivunja kwenye mtandao wa Spotify

Baada ya mastaa Drake na Wizkid kukutana kwa mara ya pili kwenye collabo ya “One Dance” single hii imeendelea kufanya maajabu kwenye ... thumbnail 1 summary


Baada ya mastaa Drake na Wizkid kukutana kwa mara ya pili kwenye collabo ya “One Dance” single hii imeendelea kufanya maajabu kwenye charts kubwa za muziki duniani. Mzigo ukiwa unapatikana kwenye albam ya Darke “Views” umekuwa wimbo wa kwanza kwenye mtandao wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Ushindi wa Man United vs West Bromwich uliyomfanya Zlatan kufikia rekodi hii

Jumamosi ys December 17 2016 timu ya Man United inayoongozwa na kocha wao mreno Jose Mourinho ilicheza mchezo wake wa 17 wa Ligi Kuu Engl... thumbnail 1 summary
Jumamosi ys December 17 2016 timu ya Man United inayoongozwa na kocha wao mreno Jose Mourinho ilicheza mchezo wake wa 17 wa Ligi Kuu England dhidi ya West Bromwich Albion katika uwanja wa The Hawthorns.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba hajaishia kupata tuzo za muziki pekee, amepata hii katika soka

Msanii wa Bongofleva Alikiba Jumamosi ya December 17 2016 alikuwa Uganda kucheza mchezo wa Hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kus... thumbnail 1 summary


Msanii wa Bongofleva Alikiba Jumamosi ya December 17 2016 alikuwa Uganda kucheza mchezo wa Hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia wa mama wajawazito ambao unajulikana kama Dorah Foundation.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

“Beef kati yangu na Rais Putin imesababisha nikose Urais” – Hillary Clinton

Baada ya kimya kirefu tangu ashindwe kupata nafasi ya Urais nchini Marekani, hatimaye aliyekuwa mgombea nafasi hiyo Hillary Clinton ameji... thumbnail 1 summary
Baada ya kimya kirefu tangu ashindwe kupata nafasi ya Urais nchini Marekani, hatimaye aliyekuwa mgombea nafasi hiyo Hillary Clinton amejitokeza na kudai kwamba ugomvi binafsi uliokuwepo kati yake na Rais Vladmir Putin wa Urusi umechangia sana kumkosesha nafasi hiyo muhimu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Paul Makonda amwaga wanasheria Dar kusaidia wananchi bure

Mkoa wa Dar es Salaam utaanza kutoa huduma za kisheria kwa wananchi wote bure kupitia wanasheria 35 ambao wamegawanywa katika wilaya zote z... thumbnail 1 summary
Mkoa wa Dar es Salaam utaanza kutoa huduma za kisheria kwa wananchi wote bure kupitia wanasheria 35 ambao wamegawanywa katika wilaya zote za mkoa huo, kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay wa Mitego afafanua kuhusu ujenzi wa ghorofa yake itayogharimu tsh milioni 300

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amesema watu wanaoshangaa na kubisha gharama za ujenzi wa ghorofa yake kufikia zaidi ya tsh mil... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amesema watu wanaoshangaa na kubisha gharama za ujenzi wa ghorofa yake kufikia zaidi ya tsh milioni 300 hawajui nini maana ya ujenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno aliyo sema Aubameyang kuhusu kujiunga na Real Madrid

Mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ameweka wazi kuwa kwa wakati huu hana mpango wowote wa kujiunga na klab... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ameweka wazi kuwa kwa wakati huu hana mpango wowote wa kujiunga na klabu ya soka ya Real Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Darassa, Roma, Stamina na Kala wanafaa kuchukua taji la ‘Ufalme wa Rhymes’ – Afande Sele

Kwa mujibu wa Afande Sele, Darassa, Roma, Stamina na Kala Jeremiah, ni rappers anaoweza kuwakabidhi taji lake la Mfalme wa Rhymes. thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa Afande Sele, Darassa, Roma, Stamina na Kala Jeremiah, ni rappers anaoweza kuwakabidhi taji lake la Mfalme wa Rhymes.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwasiti aeleza jinsi maisha yake ya muziki yalivyobadilika baada ya kupata management

Msanii wa muziki Mwasiti Almas amesema ndani ya muda mchache toka apate management ya kumsimamia tayari ameshaanza kuona mabadiliko makub... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki Mwasiti Almas amesema ndani ya muda mchache toka apate management ya kumsimamia tayari ameshaanza kuona mabadiliko makubwa katika muziki wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WHO yadai hakuna ugonjwa wa Zika nchini

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Zika nchini Tanzania na hakujawahi kupatikana mtoto aliyezaliwa na da... thumbnail 1 summary
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna taarifa za ugonjwa wa Zika nchini Tanzania na hakujawahi kupatikana mtoto aliyezaliwa na dalili hizo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ajinyonga kwa katani kisa ugumu wa maisha

Watu wawili wamekufa katika matukio tofauti mkoani Rukwa, likiwamo la mmoja kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwa madai ya ... thumbnail 1 summary
Watu wawili wamekufa katika matukio tofauti mkoani Rukwa, likiwamo la mmoja kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani kwa madai ya ugumu wa maisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwana FA asema wimbo ‘Muziki’ wa Darassa umerudisha heshima kwa wasanii wa hip hop

Msanii wa muziki wa hip hip, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki wa ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa hip hip, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki wa hip hop walishindwa kuifikia kwa muda mrefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: