August 09, 2016

Bow Wow atangaza kustaafu muziki baada ya kutoa albamu yake mpya ‘NYLTH’

Rapper kutoka Marekani, Shad Moss aka Bow Wow ametangaza kustaafu kufanya muziki baada ya kuachia albamu yake ya mwisho aliyoipa jina la ‘N... thumbnail 1 summary
Rapper kutoka Marekani, Shad Moss aka Bow Wow ametangaza kustaafu kufanya muziki baada ya kuachia albamu yake ya mwisho aliyoipa jina la ‘NYLTH’ japo hajataja tarehe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Koffi Olomide atumbuiza kwa mara ya kwanza na Fally Ipupa

Mwanamuziki kutoka DRC, Koffi Olomide August 7, alifanya tamasha kwa mashabiki wake huko mjini Brazzaville ikiwa ni la kwanza tangu apate s... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki kutoka DRC, Koffi Olomide August 7, alifanya tamasha kwa mashabiki wake huko mjini Brazzaville ikiwa ni la kwanza tangu apate sakata la kumpiga teke dancer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uso kwa uso na Vera Sidika: Afunguka kuhusu alivyokuwa staa, umbo lake, bifu na Huddah na mengine

Vera Sidika alizaliwa Mombasa na kukulia huko kabla ya kwenda Kenyatta University mwaka 2012 alipoenda kusomea interior designing. Kutoka... thumbnail 1 summary
Vera Sidika alizaliwa Mombasa na kukulia huko kabla ya kwenda Kenyatta University mwaka 2012 alipoenda kusomea interior designing. Kutokana na kazi yake ya umodel

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol kutupa karata kwenye muziki wakurap kwa style hii

Msanii wa muziki wa R&B Bernard Paul aka Ben Pol amesema ukifika wakati aachia wimbo mmoja wakurap ili kuonyesha uwezo wake. thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa R&B Bernard Paul aka Ben Pol amesema ukifika wakati aachia wimbo mmoja wakurap ili kuonyesha uwezo wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Irom Sharmila kusitisha mgomo wake wa kula chakula baada ya miaka 16

Mwanaharakati nchini India Irom Sharmila anakamilisha mgomo wake wa kukataa chakula dhidi ya sheria tata baada ya miaka 16. thumbnail 1 summary
Mwanaharakati nchini India Irom Sharmila anakamilisha mgomo wake wa kukataa chakula dhidi ya sheria tata baada ya miaka 16.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wachezaji wa Korea Kaskazini na Kusini wapiga picha ya pamoja katika Michezo ya Olimpiki Rio 2016

Wanamichezo wa mazoezi ya viungo kutoka Korea Kusini na Kaskazini, ambao wanashiriki Michezo ya Olimpiki Rio 2016, wameuonesha ulimwengu ... thumbnail 1 summary
Wanamichezo wa mazoezi ya viungo kutoka Korea Kusini na Kaskazini, ambao wanashiriki Michezo ya Olimpiki Rio 2016, wameuonesha ulimwengu ishara ya umoja, kwa kupiga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Done Deal: John Stone asajiliwa na Manchester City kwa £50m

Hatimaye klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa beki kutoka Everton, John Stone kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 50. thumbnail 1 summary
Hatimaye klabu ya Manchester City imekamilisha usajili wa beki kutoka Everton, John Stone kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 50.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: