June 09, 2016

Documentary ya mastaa wa Afrika akiwemo Diamond, yakaribia kuonekana E! TV

Documentary za mastaa wa Afrika kuanza kuoneshwa Juni 12 wakianza na Tiwa Savage. Kituo cha E!TV kilichopo Afrika Kusini ndiyo kimeandaa ... thumbnail 1 summary
Documentary za mastaa wa Afrika kuanza kuoneshwa Juni 12 wakianza na Tiwa Savage.
Kituo cha E!TV kilichopo Afrika Kusini ndiyo kimeandaa documentary hiyo itakayoitwa ‘E! VIP Airs’ ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mimi sijaumbwa kwa ajili ya kuchezea wanawake – Harmonize

Mkali wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqu... thumbnail 1 summary
Mkali wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqueline Wolper watafunga ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mama Wema asema kuna wakati anapigana na watu kumtetea Wema

Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa... thumbnail 1 summary
Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah aeleza jinsi mapenzi yalivyoathiri muziki wake

Msanii wa muziki, Linah Sanga amesema mapenzi ni moja kati ya vitu ambavyo vimeathiri muziki wake. Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Li... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki, Linah Sanga amesema mapenzi ni moja kati ya vitu ambavyo vimeathiri muziki wake.
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Linah alisema hatua ya kuwatangaza wapenzi wake ni moja ya kitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madee awarushia dongo wasanii wa kike wa Bongo Movie

Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya ku... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya kuzalisha movie zao badala yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bajeti yawabana mabishoo, ni wale wanaopenda kusajili namba binafsi za magari na kuweka majina yao

Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wataathirika na bajeti ya 2016/17. Kwani wamiliki wa magari wanaotaka kusajili namba binafs... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wataathirika na bajeti ya 2016/17. Kwani wamiliki wa magari wanaotaka kusajili namba binafsi kama kuweka majina yao, sasa watalipa Sh10 milioni badala Sh5 milioni za awali,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kama unamtaka Hamisa Mobeto awe ‘video queen’ kwenye video yako jipange hivi

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amefunguka na kueleza vigezo ambavyo anavihiitaji ili aweze kuonekana kwenye video yako ya muziki kwa sasa. thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Hamisa Mobeto amefunguka na kueleza vigezo ambavyo anavihiitaji ili aweze kuonekana kwenye video yako ya muziki kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baby Madaha awashangaa wasanii wa kike wa filamu wanaohangaika na Serengeti boys

Msanii wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema kuwa na mpenzi mwenye umri mdogo kwake haoni kama kuna faida yoyote. Wasanii wa kike wa filam... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema kuwa na mpenzi mwenye umri mdogo kwake haoni kama kuna faida yoyote.
Wasanii wa kike wa filamu Bongo wameonekana kuanzisha style mpya kwa kuwateka kwenye mahusiano wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Safari ya matumaini ya wasanii wa Bongo

Kiukweli wasanii wa Bongo ni watoto yatima wanaohitaji pongezi kwa kujituma kwao. Serikali kelele nyingi lakini hakuna ninachokiona zaidi y... thumbnail 1 summary
Kiukweli wasanii wa Bongo ni watoto yatima wanaohitaji pongezi kwa kujituma kwao. Serikali kelele nyingi lakini hakuna ninachokiona zaidi ya kuwapongeza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper na Nisha wazinguana kisa Harmonize? Nisha kajiweka kwa Raymond?

Drama za mastaa wa bongo movies hazeshi (no typo). Jacqueline Wolper na Salma Jabu maarufu kama Nisha wamepishana lugha huku Harmonize ak... thumbnail 1 summary
Drama za mastaa wa bongo movies hazeshi (no typo). Jacqueline Wolper na Salma Jabu maarufu kama Nisha wamepishana lugha huku Harmonize akiwa chanzo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"Kuna Msanii Mkubwa Hakupenda Mimi Kujiunga na WCB" – Rich Mavoko

Msanii mpya kutoka lebo ya WCB, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa bongo alimkataza kujiunga na WCB. Akiongea kwenye kipindi cha Plan... thumbnail 1 summary
Msanii mpya kutoka lebo ya WCB, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa bongo alimkataza kujiunga na WCB.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Rich Mavoko amesema kuna msanii mkubwa alimtumia ujumbe wa simu na kumuuliza kwanini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Wacheki Lulu na Majay Walipohudhuria Harusi Pamoja Kama Mr and Mrs

Kwa sasa sio siri tena kua Lulu msanii kutoka bongo movies anatoka kimapenzi na Majay msimamizi wa EFM Radio ya Dar. Kwa mara ya kwanza w... thumbnail 1 summary
Kwa sasa sio siri tena kua Lulu msanii kutoka bongo movies anatoka kimapenzi na Majay msimamizi wa EFM Radio ya Dar. Kwa mara ya kwanza wawili hao waliweka uhusiano wa wazi wakiwa nchini Nigeria ambako Lulu siku hiyo alishinda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Naangalia pesa kabla sijamkubali mwanaume – Gigy Money, Je una nini la kumwambia mdau?

Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume. Akiongea na Times FM, Gigy Mone... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume.
Akiongea na Times FM, Gigy Money alisema, “naangalia pesa kabla sijamkubali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Halima Mdee amtaja rapper wa Bongo anayemkubali zaidi

Unahisi mbunge wa Kawe, Halima Mdee anaweza kuwa anakumbali rapper gani hapa Bongo? Kama umejibu Roma Mkatoliki basi ubashiri wako upo ... thumbnail 1 summary
Unahisi mbunge wa Kawe, Halima Mdee anaweza kuwa anakumbali rapper gani hapa Bongo?
Kama umejibu Roma Mkatoliki basi ubashiri wako upo sahihi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Huyu Ndio Dj Sinyorita, Dj Mrembo Zaidi Tanzania, Anatoka Clouds Fm.

Ni ukweli usiopingika kua ukiamua kutaja watangazaji wa kike ambao walikua wana pendwa sana na vijana na usipomtaja Dj Fetty basi watu weng... thumbnail 1 summary
Ni ukweli usiopingika kua ukiamua kutaja watangazaji wa kike ambao walikua wana pendwa sana na vijana na usipomtaja Dj Fetty basi watu wengi wangekupinga. Baada ya kufanya kazi hiyo kwa miaka mingi hatimae mwanadada huyo aliamua kuacha kazi ya UDj na utangazaji na kuamua kuanzisha duka lake la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SODA,JUICE,BIA NA SIGARA VITAENDELEA KUWA JUU KWA ONGEZEKO HILI LA KODI..!!!

SERIKALI imewasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 ya Sh trilioni 29.53, ambayo nguvu kubwa imewekwa katika kukusanya mapato kwa ku... thumbnail 1 summary
SERIKALI imewasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 ya Sh trilioni 29.53, ambayo nguvu kubwa imewekwa katika kukusanya mapato kwa kulinda viwanda vya ndani na kubana matumizi ya serikali ili kuelekeza sehemu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA MIKOA MITANO NCHINI INAYOONGOZA KWA UMASIKINI KUPITA KIASI..!!

PAMOJA na maendeleo yaliyotokana na kukua kwa pato la wastani la Mtanzania na kupungua kwa umasikini wa mahitaji ya msingi, serikali im... thumbnail 1 summary

PAMOJA na maendeleo yaliyotokana na kukua kwa pato la wastani la Mtanzania na kupungua kwa umasikini wa mahitaji ya msingi, serikali imeainisha mikoa mitano iliyokithiri kwa umasikini wa kipato.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dr. Mwaka: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti, Soma Hapa

Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sa... thumbnail 1 summary
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wafanyakazi wa serikali nchini Singapore kuzuiwa kutumia internet kazini

Wafanyakazi wa umma nchini Singapore, hawataweza kupata internet kwenye kompyuta zao wawapo kazini kuanzia May mwakani. thumbnail 1 summary
Wafanyakazi wa umma nchini Singapore, hawataweza kupata internet kwenye kompyuta zao wawapo kazini kuanzia May mwakani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bonta akumbushia jinsi Mwalimu Nyerere alivyogoma kukutana na Muhammad Ali Dar

Wakati ambapo dunia inaendelea kuomboleza kifo cha bingwa wa zamani wa masumbwi wa uzito wa juu, Muhammad Ali, rapper wa Bonta anatukumbush... thumbnail 1 summary
Wakati ambapo dunia inaendelea kuomboleza kifo cha bingwa wa zamani wa masumbwi wa uzito wa juu, Muhammad Ali, rapper wa Bonta anatukumbusha historia kidogo.
Muhammad Ali alikuja Tanzania mwaka 1980 lakini alijikuta akikutana na waziri mkuu peke yake huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bajeti 2016/17: Wasanii, Wabunifu na Wanamichezo watengewa bilioni 3

Serikali itatenga kiasi cha shilingi bilioni tatu kwaajili ya kusaidia kazi za wasanii, wabunifu na wanamichezo. Kiasi hicho cha fedha ki... thumbnail 1 summary
Serikali itatenga kiasi cha shilingi bilioni tatu kwaajili ya kusaidia kazi za wasanii, wabunifu na wanamichezo.
Kiasi hicho cha fedha kimependekezwa kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo na Messi ndio wanasoka pekee walioingia katika TOP 10 ya wanamichezo matajiri duniani

Forbes wametoa list ya wanamichezo 100 matajiri duniani, kwa upande wa TOP 10 mchezo wa soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela n... thumbnail 1 summary
Forbes wametoa list ya wanamichezo 100 matajiri duniani, kwa upande wa TOP 10 mchezo wa soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela nyingi, Cristiano Ronaldo na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezaji tennis Maria Sharapova amefungiwa miaka miwili kucheza mchezo huo

Ukizungumzia wanamichezo wanawake matajiri duniani huwezi kuacha kulitaja jina laMaria Sharapova ambaye ni mcheza tennis maarufu. Maria S... thumbnail 1 summary
Ukizungumzia wanamichezo wanawake matajiri duniani huwezi kuacha kulitaja jina laMaria Sharapova ambaye ni mcheza tennis maarufu. Maria Sharapova ameingia kwenye headlines baada ya kuripotiwa kufungiwa kucheza Tennis kwa muda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Justine Bieber kaachia video ya ‘Company’

Wapenzi wa muziki wa Justine Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieberameachia video mpya ya hit single kutoka katika alb... thumbnail 1 summary
Wapenzi wa muziki wa Justine Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieberameachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 9, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Drake avunja rekodi ya 50 Cent kwenye chati za Billboard Top 100

Drake aweka rekodi mpya kwenye Billboard Top 100 baada ya wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid kukaa kwa wiki sita kwenye chati... thumbnail 1 summary
Drake aweka rekodi mpya kwenye Billboard Top 100 baada ya wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid kukaa kwa wiki sita kwenye chati hizo.
Wimbo huo wa Drake umevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na 50 Cent kwa wimbo wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ikulu ya Marekani yathibitisha Rais Obama kutohudhuria kwenye mazishi ya Muhammad Ali

Taarifa kutoka ikulu ya Marekani imesema kuwa Rais Barrack Obama hatohuthuria mazishi ya bondia wa dunia wa zamani, Muhammad Ali aliyefarik... thumbnail 1 summary
Taarifa kutoka ikulu ya Marekani imesema kuwa Rais Barrack Obama hatohuthuria mazishi ya bondia wa dunia wa zamani, Muhammad Ali aliyefariki Juni 4.
Ikulu ya White House imesema Obama na mkewe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Queen Darleen asema alikuwa mfanyakazi ndani ya ‘WCB’ kabla ya kusaini kama msani

Msanii wa muziki ambaye pia ni dada wa staa wa muziki Diamond Platnumz, Queen Darleen baada ya kusaini WCB hivi karibuni, amefunguka na kue... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki ambaye pia ni dada wa staa wa muziki Diamond Platnumz, Queen Darleen baada ya kusaini WCB hivi karibuni, amefunguka na kueleza jinsi alivyokuwa ananufaika na mafanikio ya kaka yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Irene Uwoya asema ulingo wa siasa umempa ujasiri (Video)

Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kushiriki kwake katika kampeni za siasa wakati akifanya harakati za kutaka kuingia bungeni kumempati... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema kushiriki kwake katika kampeni za siasa wakati akifanya harakati za kutaka kuingia bungeni kumempatia ujasiri mkubwa katika maisha yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Kylie Jenner afurahi kufungiwa kwa akaunti ya Twitter iliyokuwa na mkanda wake wa ngono

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Kylie alisema kuwa kwa sasa makanda wake wa ngono aliocheza na ex wake, Tyga hauwezi tena kuonekana ... thumbnail 1 summary

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Kylie alisema kuwa kwa sasa makanda wake wa ngono aliocheza na ex wake, Tyga hauwezi tena kuonekana kutokana na akaunti hiyo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: