June 09, 2016

Madee awarushia dongo wasanii wa kike wa Bongo Movie

Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya ku... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Flava toka Tip Top Connection, Madee ameweka wazi kuwa wasanii wa kike wa bongo movie sasa hivi hawafanyi tena kazi ya kuzalisha movie zao badala yake
wameamua kuanzisha mahusiano mapya na watoto zaidi kila kukicha.

Kupitia akaunti yake ya Twitter Madee aliandika ujumbe huu:



Skuiz wadada wa bongo move..hawazalishi tena move mpya…wanaanzisha mausiano mapya na watoto kila kukicha..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments