July 15, 2014

MSANII MARIAH CAREY ADAIWA KUTUMIA PHOTOSHOP KUREKEBISHA PICHA AONEKANE MDOGO KIUMRI

  mapaparazi wa nchini marekani wamemshtuma mwanadada mariah carey kwa kujifanyia  photoshop ili apate mwonekano thumbnail 1 summary


 
mapaparazi wa nchini marekani wamemshtuma mwanadada mariah carey kwa kujifanyia  photoshop ili apate mwonekano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI MJINI SHULE: MADAME WEMA AINGIZWA DARASANI NA WAARABU SOMA ZAIDI UJUE KISA CHOTE

KUNA STAA  wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Ki... thumbnail 1 summary
KUNA STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"WASANII WENGI WACHAWI NA WANAROGANA"...BABY MADAHA AFUNGUKA

  Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph 'Baby Madaha' amewatolea uvivu wasanii we... thumbnail 1 summary
 
Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph'Baby Madaha' amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni washirikina na wanalogana.... 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII LINAH AFATA NYAYO ZA DIAMOND PLATNUMZ, TAZAMA KIPANDE HIKI CHA VIDEO MARA MOJ

Estelinah Sanga maarufa kama Linah amefanya video yake ya kwanza na director wa South thumbnail 1 summary

Estelinah Sanga maarufa kama Linah amefanya video yake ya kwanza na director waSouth

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA KAWAIDA RIHHANA HAISHIWI VITUKO: CHECK PICHA AKIFURAHIA USHINDI WA GERMANY PAMOJA NA WACHEZAJI

Kwenye fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kweny... thumbnail 1 summary
article-2690906-1FA0FC0F00000578-461_634x552Kwenye fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kwenye jukwaa la watazamaji akiwa na jezi ya Ujerumani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLOYD MATWEATHER AMNUNULIA GARI LA THAMANI MPENZI WAKE KWENYE BIRTHDAY CHECK HAPA

Bingwa boxing na moja kati ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi sana Floyd Mayweather ameamua kumnunulia gari la kifahari girlfriend w... thumbnail 1 summary
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
Bingwa boxing na moja kati ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi sana Floyd Mayweather ameamua kumnunulia gari la kifahari girlfriend wake Bad Medina hata kabla siku ya birthday

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIKILIZA: SHUTUMA ZA VICTORIA KIMANI JUU YA OMMY DIMPOZI

Siku chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz kukataa kushiriki kwenye video ya wimbo wake wa Prokoto huku aki... thumbnail 1 summary
ommySiku chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz kukataa kushiriki kwenye video ya wimbo wake wa Prokoto huku akisema Ommy Dimpoz alimpa sababu nyingi ikiwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MELI YAKAMATWA BAADA YA KUBEBA MADAWA YA KULEVYA KG 300

Maafisa wa kiusalama jijini Mombasa wamefanikiwa kukamata shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin,mkuu wa kikosi cha kupambana na mih... thumbnail 1 summary
newsMaafisa wa kiusalama jijini Mombasa wamefanikiwa kukamata shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin,mkuu wa kikosi cha kupambana na mihadarati Hamis Masha amesema kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZAIDI YA 10 ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA VICTORIA KIMANI FT DIAMOND&OMMY DIMPOZ-PROKOTO

Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku ch... thumbnail 1 summary



Baadha ya picha za wasanii waliohusika kwenye wimbo wa Prokoto wakitengeneza video ya wimbo huo. Hii ni baada ya miezi miwili na siku chache toka wimbo utoka. Video imefanyika July 11 2014 Dar es salaam Tanzania iliongozwa na Director

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUH!!!! HUWEZI KUAMINI: NAGRIS MOHAMMED AFICHUA HISIA ZAKE ZA KUVUTIWA NA DIAMOND

Aliewahi kuwa Miss Tanzania namba 3 (2013/04) Nagris Mohammed, Leo kupita ukurasa wake wa INSTAGRAM amefungua moyo wake na kuandika kwa Dia... thumbnail 1 summary


Aliewahi kuwa Miss Tanzania namba 3 (2013/04) Nagris Mohammed, Leo kupita ukurasa wake wa INSTAGRAM amefungua moyo wake na kuandika kwa Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FREEMAN MBOWE ATIWA MATATANI NA MAHAKAMA BAADA YA KESI YA KUMSHAMBULIA MWANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU 2010

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya ... thumbnail 1 summary

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
ameingia matatani baada ya Mahakama ya
Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu
katika mashtaka ya kumshambulia
mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu
wa mwaka 2010.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TRAFIKI WA KIKE ATEKWA NA DEREVA BAADA YA MSUKOSUKO ...

Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikab... thumbnail 1 summary

Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi
wa Chang'ombe, jijini Dar es Salaam,
amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo
Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka
nyara askari wa kike wa usalama
barabarani.
Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo
anadaiwa kumteka Kostebo Ester katikati ya
maeneo ya Tameke na Chang'ombe kabla ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIGAUNI CHA WOLPER CHAIBUA MANENO

MH! Kigauni kifupi alichotinga staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mw... thumbnail 1 summary

MH! Kigauni kifupi alichotinga staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

`BUNDUKI` MPYA KUTOKA BRAZIL YAWASILI YANGA SC, KUANZA KUPIGA MZIGO KESHO!

Geilson Santos Santana Imechapishwa Julai 15, 2014, saa 12:12 jioni thumbnail 1 summary
Geilson Santos Santana

Imechapishwa Julai 15, 2014, saa 12:12 jioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DR DRE AWAZAWADIA TIMU YA UJERUMANI HEAD PHONES 24 ZA DHAHABU KWA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA

Rapper, producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe ... thumbnail 1 summary

Dre gold-2


Rapper, producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la FIFA la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAISLAM WA MBEYA WAPATA FURSA YA KUPATA FUTARI SAFI NA RAIS DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho ... thumbnail 1 summary
mb1
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA HIVI NDIVYO ARGENTINA WALIVYOPOOKEWA KWAO

Timu ya taifa ya Arggentina imepokelewa kwa shangwe na maelfu ya watu waliotaka kuwapongeza wachezaji wao, kuanzia uwanja wa ndege. Wana... thumbnail 1 summary
Timu ya taifa ya Arggentina imepokelewa kwa shangwe na maelfu ya watu waliotaka kuwapongeza wachezaji wao, kuanzia uwanja wa ndege. Wanandinga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAPPER MAARUFU KWA JINA LA RICK ROSS ANASWA NA KABINTI ...

rapa mkali wa hip hop marekani hatimaye nayeye kamweka wazi demu wake, rapa huyo ameonekana kuwashangaza wengi kwa kutoka na modo ambaye thumbnail 1 summary
rapa mkali wa hip hop marekani hatimaye nayeye kamweka wazi demu wake, rapa huyo ameonekana kuwashangaza wengi kwa kutoka na modo ambaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: