January 25, 2016

Huyu Dereva Tax Atanivunjia Ndoa Yangu, Nifanyeje?

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent. Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana ... thumbnail 1 summary


Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ajali Nyingine leo..Basi la Adventure Lagongana na Noah..Idadi ya Waliofariki iko Hapa

Ajali hii iliyotokea maeneo ya Chamwino, Dodoma ikilihusisha basi la Adventure na gari binafsi aina ya Noah inadaiwa kuchukua uhai w... thumbnail 1 summary


Ajali hii iliyotokea maeneo ya Chamwino, Dodoma ikilihusisha basi la Adventure na gari binafsi aina ya Noah inadaiwa kuchukua uhai wa watu watatu.
Tuwaombee marehemu wapumzishwe mahala pema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sakata la Katibu wa Yanga Kuondoka Yanga..Manji Afunguka Mazito

TAARIFA KWA WANAYANGA KUPITIA VYOMBO YA HABARI 1. Baada ya kuupitia uamuzi wa Kamati ya Nidhamu kuamua sababu kuvunja mkataba kat... thumbnail 1 summary


TAARIFA KWA WANAYANGA KUPITIA VYOMBO YA HABARI
1. Baada ya kuupitia uamuzi wa Kamati ya Nidhamu kuamua sababu kuvunja mkataba kati ya klabu Yanga na mchezaji Haruna Niyonzima, nilihisi kulikuwa kuna kasoro hasa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TRA Yadai Kukamata Simu 2,744 Katika Ghala la StarTimes zilizoingia Nchini Kwa Magumashi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imedai kukamata maboksi 294 yenye simu 2,744, na vifaa mbalimbali vya simu katika ghala la Kampuni... thumbnail 1 summary


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imedai kukamata maboksi 294 yenye simu 2,744, na vifaa mbalimbali vya simu katika ghala la Kampuni ya StarTimes.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haya Ndio Matokeo ya Mechi Aliyohaidi Madee Kuchoma Gari yake Moto Kama Arsenal itafungwa

Jumapili ya January 24 Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, mchezo wa kwanza kuchezwa ulikuwa mchezo kati ya E... thumbnail 1 summary


Jumapili ya January 24 Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, mchezo wa kwanza kuchezwa ulikuwa mchezo kati ya Everton dhidi ya Swansea City mchezo ambao ulimalizika kwa Swansea kuibuka na ushindi wa goli 2-1 licha ya kuwa katika uwanja wa ugenini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

January Makamba Awafuta Kazi Vigogo Watatu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUIMARISHA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA BARAZA LA TAIFA LA HIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA-NEMC thumbnail 1 summary


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUIMARISHA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA BARAZA LA TAIFA LA HIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA-NEMC

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mrembo wa UDSM Aliyedaiwa kuwa Msukule Uliokutwa Kwenye Shimo la Mfanyabiashara Dar Anena kwa Uchungu

Picha zinazomuonesha mwanamke aliyekutwa kwenye shimo la mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam akiwa katika hali ya kutisha zi... thumbnail 1 summary


Picha zinazomuonesha mwanamke aliyekutwa kwenye shimo la mfanyabiashara mmoja jijini Dar es Salaam akiwa katika hali ya kutisha zimetumiwa kufanya upotoshaji kwa kumzushia msichana mmoja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kigogo Mwingine Akumbwa na Kasi ya Rais Magufuli, Kisa Rushwa

Rais John Pombe Magufuli  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Katavi inamshikilia Ofisa Mtendaji wa Mtaa w... thumbnail 1 summary


Rais John Pombe Magufuli 
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Katavi inamshikilia Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Kawajense, Manispaa ya Mpanda Catherine Kipeta kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh 30,000.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tafadhali AY Tunaomba Uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili Kuokoa Ugomvi wa Mashabiki

AY na Diampond Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond thumbnail 1 summary


AY na Diampond
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Medeye na Guninita Wamvaa Benard Membe Baada ya Kusema Hujisikia Kichefuchefu Akionana na Makada Walioihama CCM

Benard Membe Siku moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kusema akionana na wa... thumbnail 1 summary


Benard Membe
Siku moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kusema akionana na waliokuwa wanachama wa CCM

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

zari Hassan wa Diamond Awachana Wabongo Wasioelewa Lugha ya Kizungu....Is English The Problem !

Zari wa Diamond Awachokonoa Tena Watanzania...Andika Maneno yafuatayo kwenye picha; thumbnail 1 summary



Zari wa Diamond Awachokonoa Tena Watanzania...Andika Maneno yafuatayo kwenye picha;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nafasi za Kazi ya Ualimu New Ambassador International Schools

Job Vacancy   English&geogrphy teacher, kiswahili&history teacher,B/keeping&commerce teacher , chemistry&biolo... thumbnail 1 summary



Job Vacancy 
 English&geogrphy teacher, kiswahili&history teacher,B/keeping&commerce teacher , chemistry&biology teacher and physics&mathematics teacher

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMILIONI ya Shilingi ya Mamlaka ya Bandari (TPA) Yaliyohifadhiwa Benki Yanusurika Kukwapuliwa na Vigogo wa Serikali..Mhasibu Ashtukia

MAMILIONI ya shilingi ya Mamlaka ya Bandari (TPA), yaliyohifadhiwa katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), yamenusurika kukwapuliw... thumbnail 1 summary


MAMILIONI ya shilingi ya Mamlaka ya Bandari (TPA), yaliyohifadhiwa katika Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), yamenusurika kukwapuliwa na baadhi ya vigogo serikalini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA..Mwanamuziki wa Bongo Kuchoma Gari lake Moto Endapo Arsenal itafugwa na Chelsea leo

Leo kutakuwa na mchezo mkali wa ligi kuu ya England kati ya mabingwa watetezi Chelsea dhidi ya Barcelona. thumbnail 1 summary

Leo kutakuwa na mchezo mkali wa ligi kuu ya England kati ya mabingwa watetezi Chelsea dhidi ya Barcelona.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Makavu Laivu Kutoka Kwa LEMUTUZ..Wacheni Kusema Maneno ya Uongo na Kuwazungumzia Usiowafahamu

Lemutuz na Hamisa Mobeto LIVE STRAIGHT TALK:-  Ninaomba kurudia tena this topic that People thumbnail 1 summary


Lemutuz na Hamisa Mobeto
LIVE STRAIGHT TALK:- Ninaomba kurudia tena this topic that People

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sumaye: Zanzibar Kina Kirefu kwa Rais John Magufuli

Wakuu habari za asubuhi, Waziri mkuu Mstaafu mh. Fredrick Sumaye amesema mgogoro unaoendelea thumbnail 1 summary


Wakuu habari za asubuhi,

Waziri mkuu Mstaafu mh. Fredrick Sumaye amesema mgogoro unaoendelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: