January 25, 2016

Tafadhali AY Tunaomba Uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili Kuokoa Ugomvi wa Mashabiki

AY na Diampond Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond thumbnail 1 summary


AY na Diampond
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila kuchwapo.

Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.

Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: