May 19, 2016

KAMPUNI YA KIDACHI YA KIBUNIFU IMETENGENZA FRIDGE YA ARIDHINI ISIYOHITAJI UMEME

Kampuni ya kidachi inayohusika na mambo ya ubunifu, imetengeneza fridge inayochimbiwa chini na isiyohitaji umeme. Fridge hii kubwa yenye ... thumbnail 1 summary

Kampuni ya kidachi inayohusika na mambo ya ubunifu, imetengeneza fridge inayochimbiwa chini na isiyohitaji umeme. Fridge hii kubwa yenye umbo kama chombo cha mviringo inaweza kuhifadhi ujazo wa fridge 20 zilizojaa vyakula. Na bado aihitaji umeme.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TBT: Pichaz 4 za Diamond na Alikiba walizowahi kupiga pamoja

Mtu wangu wa nguvu najua sasa hivi imekuwa kawaida kwa kila mtu kutumia siku ya Alhamisi kuweka picha zake za zamani katika social networ... thumbnail 1 summary
Mtu wangu wa nguvu najua sasa hivi imekuwa kawaida kwa kila mtu kutumia siku ya Alhamisi kuweka picha zake za zamani katika social network, lengo likiwa kama kukumbukia maisha au tukio fulani la nyuma, mtu wangu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu ni ushindi wa bondia Manny Pacquiao katika siasa

Bondia mwenye jina kubwa katika ulimwengu wa ngumi Manny Pacquiao May 19 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kushinda nafa... thumbnail 1 summary
Bondia mwenye jina kubwa katika ulimwengu wa ngumi Manny Pacquiao May 19 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kushinda nafasi ya Seneta katika bunge nyumbani kwao Filipino, Pacquiao amefanikiwa kushinda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba amesaini mkataba na Sonny Music

Alikiba baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpa... thumbnail 1 summary
Alikiba baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpaka leo hii na kusema atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada ya kuweza kusaini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Drake amfunika vibaya Justin Bieber kwenye mtandao wa Spotify

Drake ambaye hivi karibuni ametoa album yake mpya ya VIEWS iliyogonga platinum ndani ya wiki moja na kuanza kuuzwa kwenye mitandao tofauti,... thumbnail 1 summary
Drake ambaye hivi karibuni ametoa album yake mpya ya VIEWS iliyogonga platinum ndani ya wiki moja na kuanza kuuzwa kwenye mitandao tofauti, imeweka rekodi mpya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sayansi imethibitisha mwanaume akiwa na sifa hizi 10 huwa na mvuto zaidi kwa wanawake

Kama wewe ni mwanaume na una sifa hizi, basi fahamu kuwa sayansi imethibitisha kuwa una mvuto kwa wanawake thumbnail 1 summary
Kama wewe ni mwanaume na una sifa hizi, basi fahamu kuwa sayansi imethibitisha kuwa una mvuto kwa wanawake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Matonya kwangu ni zaidi ya mpenzi – Gigy Money

Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke. thumbnail 1 summary
Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ciara azidiwa nguvu na Future kwenye kesi ya nani akae na mtoto wao

Drama ya kisheria ya Ciara na Future inaendelea. Jumatatu hii, jaji wa Los Angeles amempa ruhusa rapper Future ya kuishi na mwanae, Fut... thumbnail 1 summary
Drama ya kisheria ya Ciara na Future inaendelea.
Jumatatu hii, jaji wa Los Angeles amempa ruhusa rapper Future ya kuishi na mwanae, Future aliyezaa na muimbaji huyo. Ciara ameshindwa kesi yake aliyoifungua kumzuia ex

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Messi ampa somo Aguero kuhusu Pep Guardiola

Baada ya Pep Guardiola kuteuliwa kuifundisha timu ya Manchester City kwa msimu ujao, Aguero amefunguka kuhusu somo alilopewa na Messi kuhus... thumbnail 1 summary
Baada ya Pep Guardiola kuteuliwa kuifundisha timu ya Manchester City kwa msimu ujao, Aguero amefunguka kuhusu somo alilopewa na Messi kuhusu kocha huyo.
Timu ya Manchester City imeonekana kushindwa kufanya vizuri msimu huu kwenye ligi kuu ya Uingereza japo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mashairi ya Kanye West yatumika kanisani SOMA HAPA

Mashairi ya Kanye West kwenye albamu yake ya ‘The Life Of Pablo’ yameanza kutumika kanisani huko Uingereza. Kwa mujibu wa gazeti la The T... thumbnail 1 summary
Mashairi ya Kanye West kwenye albamu yake ya ‘The Life Of Pablo’ yameanza kutumika kanisani huko Uingereza.
Kwa mujibu wa gazeti la The Telegraph kanisa la St. Andrew limetumia baadhi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee aelezea changamoto kubwa zaidi waliyonayo wasanii wa kike

Baadhi ya waigizaji wa kike wa filamu nchini Marekani waliwahi kulalamika utofauti wa malipo kati yao na wanaume. thumbnail 1 summary
Baadhi ya waigizaji wa kike wa filamu nchini Marekani waliwahi kulalamika utofauti wa malipo kati yao na wanaume.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sevilla watwaa kombe la Europa kwa kuifunga Liverpool

Timu ya soka ya nchini Hispania, Sevilla FC imefanikiwa kutwaa taji la Europa League kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga Liverpool... thumbnail 1 summary
Timu ya soka ya nchini Hispania, Sevilla FC imefanikiwa kutwaa taji la Europa League kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga Liverpool kwenye hatua ya fainali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diddy kuwaunganisha mastaa kwenye sherehe ya B.I.G

Diddy ameamua kuwaunganisha Lil Kim, Ma$e, Faith Evans, Mario Winans, 112, Total, Carl Thomas, The Lox and Frenc Montana kwenye sherehe y... thumbnail 1 summary
Diddy ameamua kuwaunganisha Lil Kim, Ma$e, Faith Evans, Mario Winans, 112, Total, Carl Thomas, The Lox and Frenc Montana kwenye sherehe ya kutimiza miaka 44 ya marehemu Notorious B.I.G

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News: Ndege ya Egyptian Air Yatoweka Angani

Ndege ya shirika la Egytian Air yenye namba 804 iliyokuwa ikitoka Paris kuelekea Cairo imepotea kwenye radar ikiwa na watu 66. thumbnail 1 summary
Ndege ya shirika la Egytian Air yenye namba 804 iliyokuwa ikitoka Paris kuelekea Cairo imepotea kwenye radar ikiwa na watu 66.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba kafika South Africa.. mambo yake 7 mapya kutangazwa kwenye dili jipya

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua... thumbnail 1 summary
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 19, 2016 kwenye, Hardnews na michezo YASOME HAPA

May 19 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na ha... thumbnail 1 summary

May 19 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAN UTD HATARINI KUMPOTEZA DAVID DE GEA

Uongozi wa klabu ya Real Madrid, umeongeza juhudi katika suala la kumsajili mlinda mlango wa Man Utd, David De Gea kwa kutenga kiasi cha ... thumbnail 1 summary
Uongozi wa klabu ya Real Madrid, umeongeza juhudi katika suala la kumsajili mlinda mlango wa Man Utd, David De Gea kwa kutenga kiasi cha Pauni milioni 39 ambazo wanaamini zitatosha kumng’oa Old Trafford.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPUNGUFU YA DE GEA YAMPATIA TUZO PETR CECH

Mlinda mlango kutoka Jamuhuri Ya Czech na klabu ya Arsenal, Petr Cech amethibitishwa rasmi kuwa mshindi wa tuzo ya vizuia mkoni vya dhaha... thumbnail 1 summary
Mlinda mlango kutoka Jamuhuri Ya Czech na klabu ya Arsenal, Petr Cech amethibitishwa rasmi kuwa mshindi wa tuzo ya vizuia mkoni vya dhahabu (Golden Glove) katika ligi ya nchini England.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Check out these curvy twins who make £20k a month just by posting photos of their bum online

he twins, Dana and Nadia Bruna, 30, whose bums measure 102cm, claim they make £20,000 a month by posting photos of their butt online. T... thumbnail 1 summary

he twins, Dana and Nadia Bruna, 30, whose bums measure 102cm, claim they make £20,000 a month by posting photos of their butt online. The pair dedicate hours of their day to taking about 150 sexy selfies, which they post on their app and

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Is Lulu Diva Expecting A Baby?!! See What She Posted in Respect of Her "Baba Kijacho"

Video vixen from Bongo, Lulu Diva has shared a pic of herself shows off her thigh while she was bathing, on her post she left a message t... thumbnail 1 summary
Video vixen from Bongo, Lulu Diva has shared a pic of herself shows off her thigh while she was bathing, on her post she left a message that have put us on unknown condition,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Happy Birth Day To Q Chief, May He Live Long and Have A Blessed Life

Bongo Flava Musician, Q Chief or Q ChillahIs a Year Older Today, Many Celebs Wished Him Well on this Special Days, Fans Too Could Not L... thumbnail 1 summary

Bongo Flava Musician, Q Chief or Q ChillahIs a Year Older Today, Many Celebs Wished Him Well on this Special Days, Fans Too Could Not Let Such Moment Pass

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: