May 19, 2016

Ciara azidiwa nguvu na Future kwenye kesi ya nani akae na mtoto wao

Drama ya kisheria ya Ciara na Future inaendelea. Jumatatu hii, jaji wa Los Angeles amempa ruhusa rapper Future ya kuishi na mwanae, Fut... thumbnail 1 summary
Drama ya kisheria ya Ciara na Future inaendelea.
Jumatatu hii, jaji wa Los Angeles amempa ruhusa rapper Future ya kuishi na mwanae, Future aliyezaa na muimbaji huyo. Ciara ameshindwa kesi yake aliyoifungua kumzuia ex wake asikae na mtoto wao kwa madai kuwa ni mtu mbaya.

Na sasa wawili hao wataweza kumlea mtoto wao kwa kushirikiana.

Bado kesi zinaendelea hata hivyo. Mapema mwaka huu, Ciara alimfungulia kesi ya madai Future ya dola milioni 15. Future naye alimshtaki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments