May 19, 2016

Alikiba kafika South Africa.. mambo yake 7 mapya kutangazwa kwenye dili jipya

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua... thumbnail 1 summary
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa, dili hizo zitatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016, tazama hii video hapa chini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments