May 19, 2016

Matonya kwangu ni zaidi ya mpenzi – Gigy Money

Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke. thumbnail 1 summary
Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke.


Wawili hao wamekuwa wakionekana mara kwa mara wakiwa pamoja.

“Yeah ni kweli mimi Matonya kama unayoona kwangu mimi ni zaidi ya mpenzi, hayo mambo ya yeye na mkewe mimi hayanihusu, muulize mwenyewe,”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments