October 17, 2014

HII HAPA NYINGINE INAYOMHUSU WEMA SEPETU AKA BEAUTYFULL ONYINyE

Wema Sepetu anatarajia kuachia filamu 10 kwa mpigo sokoni !.....Kwa mujibu wa meneja wake yaani Martin Kadinda thumbnail 1 summary


Wema Sepetu anatarajia kuachia filamu 10 kwa
mpigo sokoni !.....Kwa mujibu wa meneja wake
yaani Martin Kadinda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU: BONGO MOVIES ISHABUMA

STAA  wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa ... thumbnail 1 summary
STAA wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa hiyo baada ya kumuacha Amber Rose, Wiz Khalifa ndio amekaa kwa huyu sio?

Wanasema wawili hawa kuna uwezekano wako kwenye ile time ya kuonyeshana/kuringishiana au kutaka kuumizana kwamba pamoja na kwamba hauko n... thumbnail 1 summary
Wiz Khalifa 1Wanasema wawili hawa kuna uwezekano wako kwenye ile time ya kuonyeshana/kuringishiana au kutaka kuumizana kwamba pamoja na kwamba hauko na mimi, mimi niko na huyu sasa hivi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kumbe hii ndio aina ya magari anayoipenda Fid Q?

Rapa staa wa Hip Hop Fid Q, leo saa tatu asubuhi ameuliza swali kwa shabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram (@FidQ) na Twitter kuh... thumbnail 1 summary
Fid Q Cars IRapa staa wa Hip Hop Fid Q, leo saa tatu asubuhi ameuliza swali kwa shabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram (@FidQ) na Twitter kuhusu aina ya gari ambalo shabiki wake angependelea zaidi Fid Q alitumie.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni staa gani wa bongofleva kaamua kuweka jina badala ya namba kwenye gari lake? picha iko hapa

Ni wiki zinahesabika toka staa wa bongofleva Nay wa Mitego apate namba mpya ya gari lake inayoendana na ile ambayo amekua akiitaja kwenye... thumbnail 1 summary
bmw 2Ni wiki zinahesabika toka staa wa bongofleva Nay wa Mitego apate namba mpya ya gari lake inayoendana na ile ambayo amekua akiitaja kwenye nyimbo zake na kwenye page zake za mitandao ya kijamii. #966

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Miss TZ 2014 kuandamwa mitandaoni, Miss TZ wa 2013 ameamua kuyaandika haya

Kama na wewe unakerwa au haupendi jinsi ambavyo Miss Tanzania wa 2014 Sitti Mtemvu amekua akiandamwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu um... thumbnail 1 summary
BrigKama na wewe unakerwa au haupendi jinsi ambavyo Miss Tanzania wa 2014 Sitti Mtemvu amekua akiandamwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu umri wake na elimu yake baada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: