April 15, 2014

MTIKILA "WAKATI WA KUDANGANYANA KUHUSU MUUNGANO SASA UMEKWISHA"

Mjumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema kuwa hivi sasa ndiyo muda mwafaka wa Watanzania kuambiana ukw... thumbnail 1 summary

Mjumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema kuwa hivi sasa ndiyo muda mwafaka wa Watanzania kuambiana ukweli kuhusu Muungano. Mchungaji Mtikila (pichani)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA BAADHI YA MIPASHO NDANI YA BUNGE LA KATIBA

KUSIKIA MIPASHO NDANI YA BUNGE LA KATIBA JANA (14/4/2014)? KAMA ULIKOSA SOMA HAPA USOME BAADHI YA MIPASHO ILIYOJILI..... thumbnail 1 summary

KUSIKIA MIPASHO NDANI YA BUNGE LA KATIBA JANA (14/4/2014)? KAMA ULIKOSA SOMA HAPA USOME BAADHI YA MIPASHO ILIYOJILI.....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KABLA GURUMO HAJAFARIKI ALIMWANDIKIA DIAMOND WIMBO KAMA ZAWADI

Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz amesema kuwa siku chache kabla mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo hajaag... thumbnail 1 summary

Star wa Bongo fleva Diamond Platnumz amesema kuwa siku chache kabla mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Maalim Muhidin Gurumo hajaaga dunia alikuwa amemuandikia wimbo kama shukrani kwa kumpa zawadi ya gari mwaka jana.

Diamond alimzawadia mzee Gurumo gari mpya mwaka jana wakati wa uzinduzi wa video yake ya ‘Number 1’.

Platnumz amesema meneja wake Babu Tale alimpa taarifa hiyo njema ya kuandikiwa wimbo na Gurumo lakini kwa bahati mbaya mzee Gurumo alifariki kabla hajamkabidhi wimbo huo.

“Juzi kampigia simu Tale akamwambia kuna nyimbo nimemtengenezea Diamond kwasababu kwa alichonifanyia mimi nimeshukuru sana cha kumlipa mimi sina lakini nimemuandikia nyimbo” amesema Platnumz kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm.

“so alikuwa anamwambia Tale kama ameniandikia nyimbo, so angependa anipatie nikamwambia sawa. Kama siku tatu hivi nyuma, jana ndio nasikia taarifa hizi so najiona kama nimechanganyikiwa hivi.”

Platnumz ameongeza kuwa mara ya mwisho kuonana na Gurumo ilikuwa ni takribani wiki tatu zilizopita baada ya mwimbaji huyo mkongwe kumsurprise kwa kuhudhuria katika show aliyokuwa anatumbuiza Diamond kwa lengo la kutaka kumwona na kumshukuru kwa zawadi ya gari aliyompatia.



“Mara ya mwisho kukutna naye nilikuwa nafanya show Coco akaja maskini ya Mungu mpaka kwenye show…kama wiki moja nyuma kama sikosei au wiki mbili. Akaja akasema nimekuja hapa kukuona, alipenyapenya hadi akaweza kufika pale…nilivyomuona anakuja ilibidi pale nikatishe show nikamsalimia kidogo halafu nikaendelea na show, halafu baadae nikawa niko nae backstage na nini nikazungumza nae.So akasema nimekuja kukushukuru sana sana sana, akasema ningependa uje nyumbani nikamwambia sawa.”Amesema Diamond.

Mwili wa marehemu mzee Gurumo umepelekwa kijijini kwake Masaki, wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani kwaajili ya mazishi yanayofanyika leo.
Bongo5

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUFURU:MAPOLISI DUBAI HUTUMIA LAMBORGINI NA FERRARI KUFANYA DORIA

Amini usiamini brand za magari zilizojaa katika garage ya polisi ya Dubai ni Lamborgini, McLaren MP4-12C, Aston Martin, Ferrari, Bentl... thumbnail 1 summary


Amini usiamini brand za magari zilizojaa katika garage ya polisi ya Dubai ni Lamborgini, McLaren MP4-12C, Aston Martin, Ferrari, Bentley na Chevrolet.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKALIO YA MWALIMU WA SEKONDARI YASABAISHA WANAFUNZI WA KIUME KUSHINDWA KUSOMA WAZAZI WAOMBA AONDOLEWE ILI KUWANUSURU WANAFUNZI HAO

Mtandao huu umetumiwa picha hii ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na thumbnail 1 summary

Mtandao huu umetumiwa picha hii ya mwalimu wa shule moja ya Sekondari iliyopo Mkoani Kagera vijijini ambae amelalamikiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME WA MTU MBONA HANIACHI JAMANI MIAKA 6 SASA AMENIGANDA

Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusian... thumbnail 1 summary

Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SITTA"KUANZIA SASA TBC1 WAKIKATA MATANGAZO HATUWEZI KUKATISHA KUENDELEA NA BUNGE"

Jumamosi iliyopita matangazo ya Television ya taifa yalikatika wakati ikiwa live kwenye bunge la katiba ambapo Mh. Tundu Lissu alikua a... thumbnail 1 summary

Jumamosi iliyopita matangazo ya Television ya taifa yalikatika wakati ikiwa live kwenye bunge la katiba ambapo Mh. Tundu Lissu alikua akiwasilisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMAL MALINZI AGOMA KUJIUZULU UENYEKITI WAKE

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema hatajiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRF... thumbnail 1 summary

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema hatajiuzulu nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRFA) pamoja na kuwa na majukumu ya kitaifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH! KUMBE MAGARI NA KAMPUNI ALIYONAYO DAMA WA BONGO MOVIE ALIHONGWA NA MHESHIMIWA ......... SOMA HAPA

  Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, thumbnail 1 summary

 

Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ONYO KWA WANAOPENDA KUCHAFUA WATU WENGINE MAKUSUDI KWA KUPITIA COMMENTS

Kumekuwa na Tabia ambayo imeanza kujitokeza siku za karibuni kwa watu kuchafua wengine kwa makusudi kwa kupitia thumbnail 1 summary

Kumekuwa na Tabia ambayo imeanza kujitokeza siku za karibuni kwa watu kuchafua wengine kwa makusudi kwa kupitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAMELESS GOES REGGAE WITH NEW SINGLE NG'ANG'ANA-WATCH VIDEO HERE

Nameless has a new song out. Ng'anga'ana is the second single from the star's B4iR project. The video highlights Kenyans goin... thumbnail 1 summary
Nameless has a new song out. Ng'anga'ana is the second single from the star's B4iR project. The video highlights Kenyans going about their

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAUME WAFANYAKAZI WANAO KUFA NA TAI SHINGONI-CHEZEA WHITE COLLAR JOBS

Wanaume wafanyakazi wana mengi rohoni. Kazi zenyewe hizi za watu kuganga njaa tu, mradi utoke asubuhi umeoga tu, ukweli tunaujua wenyew... thumbnail 1 summary

Wanaume wafanyakazi wana mengi rohoni. Kazi zenyewe hizi za watu kuganga njaa tu, mradi utoke asubuhi umeoga tu, ukweli tunaujua wenyewe maofisini. Huku nje sasa full kujistiri ile kuficha aibu manake tukisema all cards on the table tutadhalilishana watu wazima. Kibingwa tunakomaa na tai shingoni uso mkavu, mfukoni siri ya mfuko.

Bora uwe ke utachuna, ukiwa me lazima ujue kukomaa na jiji bila hivo you wont be getting any from them babes! Au ndo usipende makuu, uwe unachezea kombe la mbuzi. Manake nabiii hakubliki nyumbani kwao asilani. Wengi hatupendi kuchezea kiwanja cha nyumbani, unaenda ofisi zingine huko kuwafunga kamba, and if you are lucky unaweza mvua papa wa pande zile wakati ungekomaa ofisi moja labda umpte mfagizi( with all due respects).

Basi bwana nikamkuta mbabe mmoja anatoka my past co-worker, anamuona WA MAANA BALAAAA! Kamfunga kamba kafungika, anamuona bonge la mtu mwenye bright future!. Anmsifiaje sasa? Sasa mimi namjua kiundani coz nishafanya nae idara moja. Ndo akaanza kunipa achievement zake to make me jelousy!

Ana gari rav 4, sio ya urithi kanunua kwa nguvu zake. Hii rav 4 mi stori yake naijua nje ndani, tulifanyaga inshu hio kampuni, kuna mali flani za kampuni tulijibinafsishia. Sasa kikanuka zikaanza hearing, tukajadiliana hapa hatuponi wala nini, tukope tu NBC, au Barclays, Stanbic kokote kule, tuchukue mafao yetu mapemaaa, ukichanganya na NSSF sio haba, na pale mikopo ilikuwa insured. Baada ya kukopa tukaresign kila mtu akaishia kivyake, ndo yule bwana alinunua hio rav 4.

Kamwambia ana viwanja Arusha Njiro, wakati uongo na picha kamrushia, wakati hio picha kiwanja cha bi mkubwa wangu, mimi ndo nilimrushiaga nikamwambia nimeambiwa nikajenge nihonge basi. Kumbe aliisave. Akamuonesha na site hio site ya x gielfriend wake tulikuwa wote idara moja. Na mambo mengi ya uongo uongo tu.

Kiukweli yule bwana HANA KITU! Na ni mzee wa INSHU kitamboo coz kazini yuko toka 2007, ni jembe akiona opportunity ya kukwapua hela hakawizi wala hasiti, ndo alitupolute sisi, na mimi nimepolute vitoto vingi sanaa kwenye udokozi dokozi huu,

na hivi wanapenda mambo makubwa. Sasa hawezi kudumu kazini kama sisi tu, coz ikitokea chance we risk it all for that one chance. Na huu u chori chori mwisho wake 40 unaenda jela sasa future gani hii? Mwenyewe nimetafuta kazi sishiki hela kabisaa nishakubuhu kwenye udokozi. Na hela ameshika sanaa ila hela za watu hizi wenyewe wanazijambia hufanyii chochote.

Bi dada ni shosti wangu, na niko dilema nimpe facts aamue au nichune tu? Kumwambia naona its not my call to make, sina usafi huo kwa kuanzia, pili ni kitambo huenda kabadilika, tatu the guy is just tryin to survive jst like the rest of us, ni victim tu wa misallocation of national scarce resources. We are all liers in the end. Mwanamke gani anataka broke ass? The dude did what he had to do. Kutomwambi naona maisha yakimwwndea ndivo sivo nitaji laumu sana, i could do something but i didnt. Pia will she believe me? Kama mjuavyo penzi ni kipofu YOU ONLY SEE AND HEAR WHAT YOU WANT TO SEE AND HEAR.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HONGERA MARIA SARUNGI UNAITENDEA HAKI ELIMU YAKO

 Kama kuna Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba ambao nimetokea kuwakubali sana hivi sasa basi Maria Sarungi ni mmoja wao. thumbnail 1 summary

 Kama kuna Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba ambao nimetokea kuwakubali sana hivi sasa basi Maria Sarungi ni mmoja wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWS:MAJAMBAZI WAVAMIA BENKI YA BARCLAYS TAWI LA KINONDONI

BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa... thumbnail 1 summary

BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.


Tukio hilo limetokea muda huu saa nne , katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAMPENDA MTU LAKINI YUPO NA MPENZI WAKE ? BASI UKIFANYA YAFUATAYO LAZIMA UMPATE..CHEKI HAPA

TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi. Map... thumbnail 1 summary
TUMSHUKURU Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi.Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA WABAMBWA LIVE WAKISAGANA. CHECK HAPA

Tukio hili lili husisha mabinti wawili walio kuwa wanafunzi wa chuo kimoja kikuu huko jamaica, wakisagana ndani ya gari thumbnail 1 summary

https://www.facebook.com/theclicktz

Tukio hili lili husisha mabinti wawili walio kuwa wanafunzi wa chuo kimoja kikuu huko jamaica, wakisagana ndani ya gari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASAA 72 YA MUHIDIN GURUMO KABLAYA KIFO CHAKE

MWANAMUZI nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa thumbnail 1 summary
MWANAMUZI nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNENE UMEKUWA NI TISHIO KUBWA NA UGONJWA MBAYA SANA

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa suala la unene wa kupita kiasi (obesity), limekuwa tatizo kubwa duniani thumbnail 1 summary
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa suala la unene wa kupita kiasi (obesity), limekuwa tatizo kubwa duniani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE ALIYECHOKA KUISHI ASAIDIWA KIFO AKIWA NA MIAKA 99

Mwanamke wa pili wa Kiingereza ambaye 'alichoka kuishi' amesaidiwa kufa kwenye kliniki ya kujitoa mhanga nchini Uswisi. thumbnail 1 summary
Mwanamke wa pili wa Kiingereza ambaye 'alichoka kuishi' amesaidiwa kufa kwenye kliniki ya kujitoa mhanga nchini Uswisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAPI ZITTO KABWE BUNGE LA KATIBA...?

Wadakuz napenda kujua wapi ndugu zitto kabwe mbona haonekani katika mjadala wa katiba bungeni? Hasikiki Kabisa ...Yale Machachari yake Ni... thumbnail 1 summary
Wadakuz napenda kujua wapi ndugu zitto kabwe mbona haonekani katika mjadala wa katiba bungeni? Hasikiki Kabisa ...Yale Machachari yake Nimeyamiss ...naomba mwenye data zake atuwekee humu...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: