November 28, 2015

Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandarini

Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo amefanya thumbnail 1 summary

Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo amefanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amsimamisha kazi kamishna wa TRA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Jose... thumbnail 1 summary
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi kuanzia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Patoranking Awasha Moto Dar

Patoranking akifanya makamuzi mbele ya mashabiki waliojitokeza kuangalia shoo hiyo. thumbnail 1 summary
Patoranking akifanya makamuzi mbele ya mashabiki waliojitokeza kuangalia shoo hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAGUFULI TAFADHALI TUONDOLEE MBIO ZA MWENGE... HAZIMA FAIDA KWA TAIFA

Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vij... thumbnail 1 summary
Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vijana, utamaduni na michezo Juma Nkamia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KASI YA RAIS MAGUFULI,MZIGO WA THAMANI ZAIDI YA MILIONI 300 WAKAMATWA BANDARINI

Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzemb... thumbnail 1 summary
Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzembe na kuanza kufanya kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA TUNAKWENDA KUSHUHUDIA TOFAUTI YA UKAWA KUSHIKA DOLA NA CCM KURUDI MADARAKANI

Tutakachoshuhudia katika awamu hii ni kuibuliwa kwa madudu makubwa huku wakuu wa mashirika ya umma wakiwajibishwa kama mbuzi wa kafara la... thumbnail 1 summary
Tutakachoshuhudia katika awamu hii ni kuibuliwa kwa madudu makubwa huku wakuu wa mashirika ya umma wakiwajibishwa kama mbuzi wa kafara lakini vigogo walioko kwenye system wakipeta au wakikamatwa wale dagaa tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BUNGE KUONDOA AJIRA ZA KUDUMU SERIKALINI...KUDUMU KWA AJIRA YA MFANYAKAZI KUTATEGEMEA JUHUDI ZAKE KAZINI

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma kwa kuondoa ajira za kudumu serikalini,... thumbnail 1 summary
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma kwa kuondoa ajira za kudumu serikalini, ili kuwezesha mabadiliko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAREKANI YASITISHA MAADA KWA TANZANIA...KISA NA MKASA SOMA HAPA KUJUA UNDANI

Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ... thumbnail 1 summary
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ya sheria mpya ya uhalifu mtandaoni yanaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIJAPENDA MAJIBU YA MSANII WA DIAMOND,HARMONIZE KUHUSU MIMI - ROSE NDAUKA

Rose Ndauka Msanii Rose Ndauka amesema kitendo cha msanii Harmonize kujibu majibu yenye utata alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet... thumbnail 1 summary
Rose Ndauka
Msanii Rose Ndauka amesema kitendo cha msanii Harmonize kujibu majibu yenye utata alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Televisio, hakupendezwa nacho kwani kinazidi kuleta sintofahamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA DIAMOND AMBANA DIAMOND KUHUSU UHALALI WA MTOTO LATIFFAH KATIKA FAMILIA YAO..MENGI YASEMWA MTAANI

Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasi... thumbnail 1 summary
Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni anadaiwa kuingia katika figisufigisu na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMEKUCHA MALI ZA BILIONEA MUUZA MADAWA YA KULEVYA MAARUFU ALIYEKAMATWA KUSHIKILIWA NA SERIKALI

\ KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka... thumbnail 1 summary
\
KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya ‘unga, Muharami

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACQUELIN WOLPER AELEZA JINSI ANAVYOMPENDA MPENZI WAKE..AWAPA WADADA WA MJINI ZA USO

Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandiki... thumbnail 1 summary
Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandikia ujumbe mzuri wa siku yake ya kuzaliwa kuonesha jinsi anavyompenda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kufuatia shambulizi la kigaidi Paris, klabu ya PSG imeamua hivi ilikuweka wachezaji wake salama …

Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris iliingia katika headlines Nove... thumbnail 1 summary
Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris iliingia katika headlines November 13 2015 baada ya kufanyika shambulio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: