August 31, 2015

Dr. Slaa Silaha ya Maangamizi Kwa Lowassa

Wacha tusemezane kidogo...na leo tusemezane juu ya hii silaha ya maangamizi ya ndugu Lowassa. thumbnail 1 summary


Wacha tusemezane kidogo...na leo tusemezane juu ya hii silaha ya maangamizi ya ndugu Lowassa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye Jaji AGUSTINO RAMADHAN Atoa ya Moyoni Kuhusu Kuhama CCM

Rais wa Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu, Jaji Agustino Ramadhani, amesema hajawahi kupatwa na wazimu wa kufikiria kuhama Chama Cha M... thumbnail 1 summary
Rais wa Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu, Jaji Agustino Ramadhani, amesema hajawahi kupatwa na wazimu wa kufikiria kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Masogange: Kwa Taarifa Yenu! Siishi Kwa Makalio Yangu

Agness Masogange Kumbe! Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanamsonga na maneno kuwa anaishi mjini kw... thumbnail 1 summary
Agness Masogange
Kumbe! Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanamsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Samwel Sitta Aomba Mpambano wa Mdahalo na Lowassa ili Ukweli wa Richmond

Samweli Sita Akisalimiana na Lowassa Bungeni MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel... thumbnail 1 summary
Samweli Sita Akisalimiana na Lowassa Bungeni

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huddah’s Private Chat Exposed: See The CRAZY Things She Discusses With Men

Huddah Monroe Socialite Huddah Monroe is without a doubt one of the most talked about celebrity in the country.  thumbnail 1 summary

Huddah Monroe
Socialite Huddah Monroe is without a doubt one of the most talked about celebrity in the country. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RISPER FAITH Needs To Repent, Why is She Doing This to Kenyan Men? (PHOTOs)

RISPER FAITH needs to repent, Why is she doing this to Kenyan men? (PHOTOs) thumbnail 1 summary
RISPER FAITH needs to repent, Why is she doing this to Kenyan men? (PHOTOs)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa Hili Alilolifanya Diamond, Litamgharimu Sana Katika Safari Yake ya Kimuziki

Diamond Platnumz Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kam... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz

Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support hawapo katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Cheza kwa Madoido’ ya Yamoto Band tayari ipo hewani mtu wangu!!…(Video)

Yamoto Band  walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’   chini ya Mtayarishaji  GodF... thumbnail 1 summary
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ni mbadala wa Javier Hernandez katika klabu ya Man United…….

Klabu ya Manchester United bado ipo katika dakika za mwisho kutafuta mbadala wa mshambuliaji wa Mexico aliyekuwa kwa mkopo wa muda mrefu ... thumbnail 1 summary
Klabu ya Manchester United bado ipo katika dakika za mwisho kutafuta mbadala wa mshambuliaji wa Mexico aliyekuwa kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Javier Hernandez Chicharito, Man United ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa ninzao picha za mastaa kwenye red carpet ya tuzo za MTV Video Music Awards (VMA’s).

Stori kubwa kwenye headlines za burudani nchini  Marekani  ni tuzo za  MTV VMA’s 2015,  kwenye headlines za tuzo hizo zipo performa... thumbnail 1 summary
Stori kubwa kwenye headlines za burudani nchini Marekani ni tuzo za MTV VMA’s 2015, kwenye headlines za tuzo hizo zipo performances za wasanii waliotamba kwenye stage, mastaa waliofanikiwa kuondoka na tuzo na wale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kanye West atangaza nia ya kugombea Urais mwaka 2020…(Video).

Kanye West  na  Kim Kadarshian  walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015 … na siku zote watu w... thumbnail 1 summary
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo zaMTV Video Music Awards 2015… na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya kufurahisha ama kusikitisha usiku hauwezi kuisha bila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Na washindi wa Tuzo za MTV VMA’s 2015 ni… Orodha yote ya washindi ninayo hapa! + (Video)

Jumapili ya tarehe  30 August 2015  ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za  MTV Video Music Awa... thumbnail 1 summary
Jumapili ya tarehe 30 August 2015 ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zilichukua headlines kubwa sana jijini Los Angeles Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA MASTAA WAKIKATA MAUNO MBELE YA RAIS JK

Mwandishi wetu Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jaka... thumbnail 1 summary

Mwandishi wetu
Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi aliyeambatana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: