April 29, 2015

DARASA HURU:HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYANA

Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalioZaidi ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana... thumbnail 1 summary


Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalioZaidi ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la
Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bilakujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wavinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya,kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao napengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: