April 30, 2015

Ni zamu ya Mayweather na msafara wake kwenda kukagua Uwanja watakapopigana na Manny Pac.. (PICHAZ)

Siku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawiliManny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapand... thumbnail 1 summary


Siku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawiliManny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapanda ulingoni na kutegua kitendawili cha nani
mkali zaidi.

Hili pambano ni kama dunia nzima inalisubiri kwa hamu yani.. vyombo vya habari vimelipa promo kubwa kiasi cha kwamba hata ambao hawafuatilii ndondi imebidi wafuatilie hawa jamaa ni akina nani hasa !!

Jana nilikusogezea pichaz zikionesha Manny Pacquiao akiingia zake Las Vegas na msafara kabisa wa pikipiki, basi kubwa na gari nyingine zikimsindikiza.


Leo ni zamu ya Floyd Mayweather ambaye ametumia muda wake kwenda kukagua ukumbi wa MGM Grand ambao utatumika kwa pambano lao.

Ukumbi ulifurika mashabiki.. camera za mapaparazzi nazo hata hazikuwa mbali.


Pambano hilo linatajwa kuwa pambano la kifahari zaidi duniani na ambalo viingilio vyake ni vikubwa ukilinganisha na mapambano mengine yaliyowahi kufanyika duniani.



Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: