April 30, 2015

UMEISIKIA HII YA WAUMINI WA KANISA KUSALI BILA KUWA NA NGUO YANA (UCHI) UNAJUA KILICHOFWATA?? AMAZING,,,

Malalamiko yalikuwa mengi tangu kufunguliwa kwa kanisa hilo la Healing Ministrykatika Kaunti ya Machakos, Kenya.. wanawake wanaingia k... thumbnail 1 summary

Malalamiko yalikuwa mengi tangu kufunguliwa kwa kanisa hilo la Healing Ministrykatika Kaunti ya Machakos, Kenya.. wanawake wanaingia kwenye migogoro na wanaume zao kisa ibada, wakatu mwingine walikua wanaenda kulala hukohuko.

Hii kitu ikaleta migogoro mingi kwenye baadhi ya familia, baadae kukawa na malalamiko kwamba wanawake wanaosali kwenye Kanisa hilo wanasali wakiwa wamevua nguo zote.. siku moja watu wa eneo hilo wakavamia kanisani hapo usiku, wakakuta wanawake wakiwa wanasaliwa huku wamevua nguo zote.. Kasisi akajitetea kwamba alikuwa akiwafanyia ibada maalum.
Mwenyekiti wa muungano wa wafanyabiashara eneo hilo Duncan Mutua amesema; “Tulivamia kanisa hilo na kumfumania Kasisi akiwamwagilia wanawake maji wakiwa uchi wa mnyama alijitetea akisema alikuwa akiwafanyia maombi spesheli,”.
Amesema wasiwasi kuhusu shughuli za Kanisa hilo uliongezeka baada ya wanawake wa eneo hilo kutumia muda wao mwingi Kanisani na hata kuwaacha waume wao usiku na kwenda kwenye ibada za mkesha.
Hilo ndiyo kanisa ambalo limetuhumiwa kufanya ibada za wanawake wakiwa hawana nguo.Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: