November 22, 2014

HUDAH THE BOSS AJA NA UJIO MWINGENE WA PICHA ZA UTATA HUKO INSTAGRA UTADHANI HANA WAZAZI

MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa INSTAGRAM  kama kawaid... thumbnail 1 summary


MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa INSTAGRAM kama kawaida yake.
Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: