July 04, 2014

MAIMATHA AVISHWA PETE NA KUDUME BAADA YA ZILE ZA MWANZO KUPOTEA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI

MTANGAZAJI  ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa ba... thumbnail 1 summary

MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha. 

Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’
 Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha akiwarusha roho mashoga zake na alipoulizwa na paparazzi wetu juu ya pete hizo alisema, mume
wake ndiye aliyeamua kumvisha baada yakuona ni heshima kwa mke wa mtu.

 “Nimejisikia furaha sana kwani ilikuwa ikininyima raha kuona pete za mume wangu hazipo tena kidoleni, sasa nina amani tele,” alisema Mai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: