December 13, 2016

Ne-Yo ameanza kuupigia debe wimbo alioshirikishwa na Diamond Platnumz.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo wa Marekani ameandika ujumbe wa kuonyesha sehemu ambao wimbo huo unapatikana kwa sasa. thumbnail 1 summary






Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo wa Marekani ameandika ujumbe wa kuonyesha sehemu ambao wimbo huo unapatikana kwa sasa.

“Much love to my dude!@diamondplatnumz incredible artist and friend of mine from Africa! Check out his single featuring yours truly #MARRYYOUnow available on iTunes. #NEWMUSIC ,” ameandika Ne-Yo kwenye mtandao huo.

Wimbo huo uliopewa jina la ‘Marry You’ ulianza kusambaa mitaani tangu mwezi uliopita huku video yake ikiwa tayari imeshatengenezwa tangu mwezi Septemba mwaka huu huko jijini Los Angeles, Marekani. Hata hivyo wimbo huo unasambazwa na kampuni ya Universal Music Group ya Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments