June 03, 2016

Video: Justin Bieber awaonesha mashabiki kipaji chake kingine alipokutana na Neymar

Staa asiyeishiwa vituko kila kukicha, amewaonyesha mashabiki wake kipaji kingine ambacho amebarikiwa kuwa nacho ukiachilia mbali na muziki ... thumbnail 1 summary
Staa asiyeishiwa vituko kila kukicha, amewaonyesha mashabiki wake kipaji kingine ambacho amebarikiwa kuwa nacho ukiachilia mbali na muziki anaofanya sasa.
Staa huyo alikutana na mchezaji wa timu ya Barcelona, Neymar na kumuonyesha kuwa na yeye yupo fit hata kama asingeimba
angeweza kuingia uwanjani kucheza mpira na kuingiza mkwanja wa kutosha.

Bieber alipost kipande cha video hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika: “@neymarjr and I messin around in my backyard.”

tazama video hapa.
.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments