August 27, 2014

AJALI YA LORI NA GARI DOGO YATOKEA JIJINI DAR, TAZAMA PICHA HAPA ZIPO

Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla. thumbnail 1 summary



Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla.



Ajali imetokea maeneo ya Mlimani City jijini Dar ikihusisha magari mawili Lori la mafuta na gari dogo aina ya Toyota Corrolla lenye namba za usajili T 716 ARY.

Lori hilo lilikuwa likitokea Ubungo kwenda Mwenge na  gari dogo lilikuwa likitokea Mwenge kwenda Survey. Katika ajali hiyo akuna aliyepoteza maisha  wala  kujeruhiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: