August 28, 2014

NUHU MZIWANDA AZUA GUMZO JIPYAAAAAAH KABISA, SOMA HAPA UONDO WOTE

  STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva,... thumbnail 1 summary
 
STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
ndiye aliyempa mwanga kunako gemu ya Bongo Fleva.Akikisanua kupitia Global TV Online juzikati, Mziwanda alimshukuru Shilole na  kuongeza pia kujichora kwake mchoro mkononi wenye jina la bidada huyo ni kuweka historia kuwa alishawahi kutokea mtu wa muhimu maishani mwake.
“Zamani nilikuwa nafanya muziki lakini nyota yangu haikung’aa kihivyo, baada ya kumpata Shilole nyota zetu zikaonekana kuwa sawa hivyo nikang’aa japo mapenzi ndiyo yaliyotuunganisha,” alisema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: