August 28, 2014

Good news!! hivi ndivyo makundi ya Champions League yalivyopangwa

Hatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika... thumbnail 1 summary
IMG_6821.JPGHatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika kwenye jiji la Monaco, Ufaransa na
mpango wote ndio umekua hivi.
Kundi A
Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo
Kundi B
Real Madrid
Basel
LIVERPOOL
Ludogorets
Kundi C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco
Kundi D
ARSENAL
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht
Kundi E
Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow
Roma
Kundi F
Barcelona
Paris St-Germain
Ajax
Apoel Nicosia


Kundi G
CHELSEA
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor
Kundi H
Porto
Shakhtar Donetsk
Athletic Bilbao
Bate Borisov

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: