May 20, 2016

JUX AJA NA MUONEKANO TOFAUTI, CHEKI PICHA ZAKE HAPA KAPENDEZA AU LAAH!!

Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa... thumbnail 1 summary
Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.

“Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy,”ameandika Jux kwenye moja ya picha alizoweka Instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments