Mkali wa Bongo flava Ali Kiba tayari ameiachia Youtube video ya ngoma yake mpya Aje.
05:30
Mkali wa Bongo flava Ali Kiba tayari ameiachia Youtube video ya ngoma yake mpya Aje.
Imeongozwa na Director aliyefanya ‘Chekecha’ Meji alabi, Wimbo umepikwa Chaiders Records kwa Abby Daddy
Itazame then muachie maoni yako,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
No comments
Post a Comment