Najua unaweza ukawa miongoni mwa watu ambao hawajawahi kumuona ‘Kiburudisho’ cha star wa mieleka Duniani John Cena.
Hatimae picha zake zimeanza kuzagaa kwa nguvu mitandaoni wakiwa pamoja
Mrembo huyu anaitwa Nikki Bella, na wameonekana kushibana hasa na mahaba.
No comments
Post a Comment