July 05, 2014

UNAYAKUMBUKA YA MARADONA NA GENTILE MWAKA 1982?, IKIWA IMEPITA MIAKA 32, FERNANDINHO VS RODRIGUEZ WAIRUDIA HISTORIA

+7 Mpira uko wapi? Fernandinho akimfanyia kitu mbaya  James Rodriguez kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo mjini Fortaleza. thumbnail 1 summary

Where's the ball? Fernandinho clatters into James Rodriguez in the first half of the match in Fortaleza

Mpira uko wapi? Fernandinho akimfanyia kitu mbaya  James Rodriguez kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo mjini Fortaleza.

KATIKA fainali za mwaka 1982 njia pekee ya Italia kumzuia Diego Maradona ilikuwa
ni kumpa jukumu maalum beki wa kati Claudio Gentile ili ale naye sahani moja mwanzo mwisho. 
Gentile alimfanyia faulo 23 Muargentina huyo namba 10 nchini Hispania na Italia walishinda mabao 2-1, huku wakiwaachia wapinzani wao kazi ya kuifunga Brazil katika mechi inayofuata ili wasonge mbele, kitu walichoshindwa kufanya.
Miaka 32 baadaye, kulikuwa na tukio kama hilo kwenye mechi ya Brazil dhidi ya  Colombia ambayo imepigwa usiku huu mjini Fortaleza na kushuhudia Fernandinho akipewa jukumu la kumbaka James Rodriguez kwa kila nafasi atakayocheza uwanjani.
Agony: Rodriguez is left writhing in pain after Fernandinho's first foul in Fortaleza

Hali tete: Rodriguez akiugulia maumivu baada ya kufanyiwa faulo ya kwanza na  Fernandinho, mjini Fortaleza.

Katika dakika ya 14, kiungo huyo wa Manchester City alichuana vikali na Rodriguez katikati ya dimba akijaribu kumpokonya mpira na alimshika nyota huyo wa Monaco.
Mwamuzi alimpa Mcolombia huyo mpira wa adhabu, lakini  Fernandinho hakupewa kadi ya njano.
Tayari kulikuwa na maneno kuwa wenyeji wanapendelewa na waamuzi katika mashindano haya, na hili lilikuwa mfano mzuri kwa kuendeleza maneno hayo.
Appeals: Rodriguez asks for a free-kick after clashing with Fernandinho during the first half
Anaomba: Rodriguez akiomba mpira wa adhabu baada ya kufanyiwa faulo na  Fernandinho kipindi cha kwanza.
Clattered: Rodriguez lies on the floor after one of Fernandinho's string of fouls

Kaaah!: Rodriguez akiwa ameanguka chini baada ya kufanyiwa faulo na Fernandinho.

Pain: Rodriguez screams in pain after his latest run-in with the Brazilian midfielder
Eye on the ball: Rodriguez watches the ball as Fernandinho thunders through the back of him
Katika dakika ya 46, Fernandinho alimfanyia faulo Rodriguez.
Upended: Rodriguez is barged into the air by Fernandinho during the first half of their World Cup quarter-final

Rodriguez akionja joto la jiwe kutoka kwa Fernandinho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: