May 02, 2016

Mnajaribu Kuniachanisha na ZARI Lakini Hamtoweza – DIAMOND

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataw... thumbnail 1 summary

Diamond anataka kuwapa ujumbe ‘haters’ wa uhusiano wake na mama wa mtoto wake, Tiffah, Zari the Bosslady, kuwa hata wafanye vipi, hawataweza kuwakosanisha.
Hilo linaweza kuwa ni jibu la kwanza tangu zivume tetesi kuwa hitmaker huyo alimsaliti mpenzi wake na mrembo anayeonekana kwenye video ya msanii wake, Raymond, Kwetu.
Msichana huyo aitwaye Irene anadaiwa kuitikisa ngome ya The Chibus. 
Irene 
Akipost picha ya Zari kwenye Instagram, Diamond aliandika: Roho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments