May 28, 2016

Maneno ya WEMA Sepetu Kuhusu Tuzo ya BET Anayowania DIAMONDPlatnumz

Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Wata... thumbnail 1 summary
Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Diamond Platnumz, Wema Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsupport mwimbaji huyo ambaye ni Mtanzania pekee anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET. 

Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita na kusisitiza uzalendo kwanza >>> ‘Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments