January 16, 2015

TUNDA MAN ABADILISHA MUZIKI WAKE NA KUANZA KUPIGA BAND

Tunda Man amekuwa akipiga sana project zake binafsi hali ambayo baadhi ya mashabiki wa kundi la Tip Top kuhisi labda kajitoa kwenye kundi h... thumbnail 1 summary

Tunda Man amekuwa akipiga sana project zake binafsi hali ambayo baadhi ya mashabiki wa kundi la Tip Top kuhisi labda kajitoa kwenye kundi hilo.

Msanii wa Bongo Fleva,Tunda Man ameamua kuubadilisha muziki wake na kufungua bendi yake na kutumbuiza live kwenye majukwaa ili kuwateka zaidi mashabiki wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: