April 08, 2014

TAZAMA VIDEO HII UONE JINSI WANAUME WALIVYO MGOMBANIA HUKO MWANZA WAKITAKA KUCHEZA NAE MUZIKI

Elizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki... thumbnail 1 summary


Elizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki huko mwanza
alipokuwa katika kampeni ya kutafta vipaji ya kampuni flani ya usambazaji,


Lulu alikumbwa na mkasa huo baada ya kuwa wasanii wote waliokuja walikuwa wanatambulishwa  alianza msanii wa orijino komedi bwana joti na kufuatiwa na Richie na kisha kupanda Steve nyerere Alafu Lulu akamalizia kwa kufunga pazia ..

Tazama video hapo chini uone jinsi wanaume walivyo mgombania lulu


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: