June 01, 2016

Vita ya maneno yaanza kati ya Chris Brown na mzazi mwenzake

Chris Brown na mzazi mwenzake, Nia Guzman wameanza kutupiana maneno mtandaoni. Wiki iliyopita Chris Brown alifanikiwa kushinda kesi ya ku... thumbnail 1 summary
Chris Brown na mzazi mwenzake, Nia Guzman wameanza kutupiana maneno mtandaoni.
Wiki iliyopita Chris Brown alifanikiwa kushinda kesi ya kumlea mwanae, Royalty iliyofunguliwa na mkewe kwa madai ya msanii huyo hana malezi mazuri kwa mtoto wao.

Kupitia akaunti yake ya twitter, Nia Guzman alisema anaamini mwanae [Royaity] ataishi kwenye maisha ambayo hakuyatarajia. Lakini Chris Brown alimjibu mzazi mwenzake huyo kwa kusema kuwa mtoto wake anapenda maisha yake anayoishi lakini tayari alishabadilika tangu zamani na sasa amekuwa baba bora.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments