June 01, 2016

BAADA YA KUACHANA NA SHILOLE , NUHU MZIWANDA AMUWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA AKIWA NAE KITANDANI ..MTAZAME HAPA

Baada ya kutengana na Shilole, Mbongo fleva, Nuh Mziwanda alikuwa muoga kidogo kuonyesha jiko jipya alilovuta sababu kila aliyekuwa naye ... thumbnail 1 summary
Baada ya kutengana na Shilole, Mbongo fleva, Nuh Mziwanda alikuwa muoga kidogo kuonyesha jiko jipya alilovuta sababu kila aliyekuwa naye alilinganishwa na Shilole.

This time home boy ambaye amefanya hit ya #JikeShupa na Ali Kiba hana siri tena, mambo yote wazi.

0

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments