December 16, 2016

Jokate atumia Snapchat kueleza kwa mafumbo anavyoumizwa na ampendaye!!

Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza... thumbnail 1 summary
Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza sasa.


Ni nani mwanaume huyo? Last time tumecheki, mwanaume pekee aliyepokea neno ‘I love You’ kutoka kwa mrembo huyo ni Alikiba. Iko tricky kidogo sababu hadi sasa bado mastaa hao wanakanusha kuwa na uhusiano.

Anyways, acha turejee kwa Jokate. Siku nzima, mtangazaji na mjasiriamali huyo amekuwa akitumia Snapchat kupost series ya picha zenye ujumbe wa mafumbo wa mwanamke aliyeumizwa. Utazame ujumbe huo.


Add caption









SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments