December 16, 2016

Rapper huyu mwenye collabo na Diamond asaini na Roc Nation

Jay Z amevua samaki mkubwa kumjumuisha kwenye kapu la Roc Nation. Ni rapper Yo Gotti. thumbnail 1 summary
Jay Z amevua samaki mkubwa kumjumuisha kwenye kapu la Roc Nation. Ni rapper Yo Gotti.

Alhamis hii, Jay Z na hitmaker huyo wa Down In The DM, walitangaza rasmi ushirikiano kati ya Nation na Collective Music Group.
Gotti, ambaye pia ni msanii wa Epic Records, aliweka wazi habari hiyo njema akiwa na Jay mwenyewe katika ofisi za Roc Nation.
“Jay always been one of my favorite rappers,” anasema Gotti. “When he told me he was watching what I was doing, I thought that was some cool shit. I was like, I respect your hustle, I respect what you’re doing. I’m a hustler and I think we got the same vision when it comes to diversifying hustlers. The way I see it, it’s just expansion.”




Takriban miezi mitatu iliyopita, rapper huyo alikutana na Diamond nchini Marekani na muimbaji huyo wa ‘Salome’ kudai amemshirikisha kwenye wimbo wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments