August 26, 2014

MAMIA WAJUMUIKA KUMUOMBEA MWANDISHI JAMES FOLEY ALIYEUAWA KWA KUKATWA KICHWA, WAZAZI WAONGEA YA MOYONI

mamia wamejumuika pamoja katika kanisa katoliki kushiriki ibada ya kumkumbuka na kuomboleza kifo cha mwanahabari james foley ambaye aliuawa... thumbnail 1 summary
mamia wamejumuika pamoja katika kanisa katoliki kushiriki ibada ya kumkumbuka na kuomboleza kifo cha mwanahabari james foley ambaye aliuawa kwa kukatwa kichwa na
kikundi cha kigaid cha ISIS huko iraq, watu mbali mbali wameshiriki ibada hiyo ikiwemo baba na mama mzazi wa mwandishi huyo ambaye alikua na umri wa miaka 40, ambapo wamesema kuwa wanajivunia mtoto wao ambaye amekufa akijaribu kuanika jinsi gani wananchi wasio kuwa na hatia wanavyopata shida.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: