August 26, 2014

HABARI PICHAZ: TAZAMA DI MARIA ALIVYOWASILI MANCHESTER UNITED USIKU WA KUAMKIA LEO!


 Di Maria (kushoto nyuma) katika gari akipelekwa uwanja wa mazoezi wa Manchester United uitwao Carrington usiku wa kuamkia leo.
Mchezaji aliyetoka Real Madrid, Angel Di Maria.

MANCHESTER UNITED inatarajiwa kumtambulisha winga wake mpya leo kutoka Real Madrid, Angel Di Maria aliyetua klabuni hapo usiku wa kuamkia leo kwa pauni milioni 59.7.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: