August 26, 2014

ARSENAL WAKIJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA SIKU YA KESHO

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, akiongea na wachezaji wake   leo wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi... thumbnail 1 summary
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, akiongea na wachezaji wake leo wakijiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Beskitas utakapigwa kesho.

Jack Wilshere akiwaongoza wachezaji wenzake leo katika mazoezi.
Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez.
Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozi akifanya mazoezi na wenzake.
Kutoka kushoto, straika Yaya Sanogo Alex Oxlade-Chamberlain, Ignacio "Nacho" Monreal na Sant Carzola wakipiga jiramba, tayari kwa mtanange huo, utakaoamua nani kushiriki Uefa msimu huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: