June 15, 2014

Jokate:Mwanadada Wakwaza Tanzania Kumuiga Beyonce

Kama kawaida wenzetu wapo mbele na huwa FASHENI nyingi za kuvaa, kunyoa, kuongea,kutembea na LAIFU STAILI kwa ujumla tunaiga toka STETI.... thumbnail 1 summary
Kama kawaida wenzetu wapo mbele na huwa FASHENI nyingi za kuvaa, kunyoa, kuongea,kutembea na LAIFU STAILI kwa ujumla tunaiga toka STETI....Sioni
ajabu kwa mwanadada Jokate kuiga mtindo wa Nywele za Mwana
mama BEYONCE ambazo aliweka wiki mbilizilizopita
Hongera sana JOKATE umeonyesha njia!!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: