June 15, 2014

HATIMAYE MSANII LUCY KOMBA AVISHWA PETE

Msanii wa filamu Tanzania alitokea kwenye kundi la Kaole Sanaa Group Lucy Komba afumwa na pete mkononi kimya kimya katika msiba wa Sma... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu Tanzania alitokea
kwenye kundi la Kaole Sanaa Group Lucy
Komba afumwa na pete mkononi kimya
kimya katika msiba wa Small.
Baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda

sasa yupo Bongo ingawa hajaweka wazi
anachofanya huko ughaibuni, na aliulizwa
swali na mwandishi kuhusu pete ya
uchumba Lucy alifunguka hivi. "Sijui hata
niseme nini
pete mmeiona na kama una
hisi nipo kwenye mchakato wa kuolewa,
mambo yakiwa tayari nitaweka wazi ila
jua kuwa nitaolewa mbona na siyo nje ya
nchi." 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: