June 15, 2014

RAY C:Natamani Kuzaa Mtoto......Ingawa Stori za Labour Zinatisha Lakini na Hamu Sana

Husika na kichwa cha habari hapo juu!! Kutoka kwenye mtando wa INSTAGRAM  dada yetu Rehema ameamua kufunguka yake thumbnail 1 summary
Husika na kichwa cha habari hapo juu!!

Kutoka kwenye mtando wa INSTAGRAM  dada yetu Rehema ameamua kufunguka yake
ya moyoni kuhusu kutamani kuwa na mtoto.....Sina mengi  soma mwenyewe hapo chini.

Wako katika Udaku,
Domozege.

"Yani nikiona watoto siku hizi natamani sana kuwa na mtoto nadhani umri umefikia wa kupata katoto hata tuwili tu...ni wangapi wangependa kumuona mwanangu mtarajiwa....yani nikiona MTU amebeba kachanga nachanganyikiwa na hamu sana ya kutoa kopi Yangu,niombeeni ingawa stori za labour zinatisha lakini na hamu sana....uwi sijui itakuwaje nikimuona mwanangu kwa Mara ya kwanza yani naeza zimia......"
By Ray C 



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: