June 15, 2014

Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva atafia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa 2014

Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu 'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa siku ... thumbnail 1 summary

Nabii anayetikisa kwa maono ya vitu mbalimbali Hosea Chamungu
'Mzee wa maono' ameibuka na jambo zito baada ya kufunga kwa
siku tatu mfululizo huku akifanya maombi nyikani......Akiongea
na mwanahabari wetu mapema wiki hii, nabii Chamungu alisema
kuwa amekuwa na desturi ya kufunga siku tatu kila wiki ili

kupata maono ya mambo mbalimbali yanayojiri hapa
duniani.....Chamungu ambaye kabla ya unabii amewahi kuwa
mwanachama wa Freemasons amesema alichofunuliwa hivi majuzi ni
kwamba bado vifo vitaendelea kuwaandama wasanii mbalimbali na
kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa 2014 kuna msanii mkubwa
wa mziki wa
Bongo Fleva atafia jukwaani....."Atafariki kwa
ajili ya pesa na itakuwa jukwaani, yawezekana akawa anagombea
pesa au anatunzwa pesa jukwaani ndipo umauti
utakapomkuta,"alisema Chamungu huku akisisitiza kuwa hayo ni
maono na si hadithi.Chamungu alifafanua kuwa vifo
vinavyohusisha pesa hutokana nashetani ambao ni jamii ya
Lucifer na Illuminati ambapo pia hujulikana kama
Freemasons...."Kifo chake kitavuta hisia za watu wengi wakiwemo
wakawaida na maarufu kama ilivyotokea kwa marehemu Kanumba
lakini hatazikwa na watu wengi kama alivyozikwa
Kanumba,"alisema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: