June 15, 2014

Big Brother Africa 2014 Yatangaza Tarehe Ya Usaili Kwa Tanzania.

Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tar... thumbnail 1 summary

Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili
katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania
tarehe ya usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa

Hotel, Dar es salaam.Mshindi wa mwaka huu atajinyakulia kitita cha
$300,000.Nchi zinazoshiriki mwaka huu ni
Botswana, Ethiopia, Ghana,
Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone, South Africa,
Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: